Ukiwa na kiasi gani cha pesa kwenye wallet unakosa ujasiri wa kumtongoza mwanamke?

Ukiwa na kiasi gani cha pesa kwenye wallet unakosa ujasiri wa kumtongoza mwanamke?

Laki si ndogo sana mzee , buffet pale kilimanjaro hotel hyo ni sahani moja tu .
Ila nkivuta taswira nlipokuwa sina hela ndo lichakata mbususu sana .
 
Kweli tumetofautiana mmi back in the days kabla sijawah tajiri nilikua natongoza watoto wakali walionizid vigezo Ili nisijione mnyonge na nilikua nang'oa hatari pisi za kishua nikaja kujua ile hali ilikua ni inferior complex ndio ilikua ikinitesa kuanzia apo nikaanza kukupiga vita umasikin maana ulikua unanifanya niwe malier sana
 
Maisha ni pesa na pesa ni nguvu mojawapo ya ujasiri na kujiamini katika maisha ya mapenzi na mahusiano.

Binafsi nikiwa na pesa pungufu ya Laki moja siwezi thubutu kumchokoza demu, hata kama ni mkali vipi ntamsomea ramani tu kinyele bila swaga.

Nikiwa sina Laki moja na kuendelea kwenye wallet sijihangaishi na hisia za mademu kwenye anga za harakati.

Je vipi kuhusu nyie mabaharia wenzangu?

kiroho safi tupo nchi ya Lamama wetu.

Wadiz
Kutegemea pesa ndio utongoze ni dhahiri kwamba ww ni domo zege na muhongaji uliyekubuhu
 
Mimi nikiingia kwenye viwanja vyangu huwa sina time na mademu mara nyingi wanakuja wenyewe nilipokaa na wakiniomba niwanunulie kinywaji huwa nawaambia sina hela hata kama ninayo. Demu akiniomba ofa kabla sijaingia maeneo yangu namwambia kabisa baada ya offer tutaenda kulala pamoja kama hayupo tayari asije au aje kwa mambo yake sio kunifuata mimi.
 
It is all about Confidence,, tulianza kuwa na wanwake kabla hatujaanz kuwa na hela,, hizo mentality ndio zinawafanya kila siku myaone mapenzi mateso.Tuna tafuta hela kwa ajili ya kutunza familia zetu na kuish maisha bora sio kupita tunatongoza wanawake. Mkiambiwa nyinyi washamba hua mnamaind!!!!!
Uzi ungeishia hapa. Mkuu usipige kwenye mshono.
 
Ni washamba pekee ndio huwaza hela kwa mwanamke. Kwahyo mleta mada unatafuta zaidi ya laki ukahonge ili upate nyama dah😂😂 nijuavyo mm kama mwanaume kutongoza haihitaji pesa labda ww ulete mambo mengi na kumla dem 1st time haihitaji hela ila ujanja wako tu sasa ukinogewa mwaga matumizi ukiona pabaya jichenge si ushakula mzigo unangoja nn ila ww unakaushamba fulani hata wenye hela hawafanyi hivyo
 
Maisha ni pesa na pesa ni nguvu mojawapo ya ujasiri na kujiamini katika maisha ya mapenzi na mahusiano.

Binafsi nikiwa na pesa pungufu ya Laki moja siwezi thubutu kumchokoza demu, hata kama ni mkali vipi ntamsomea ramani tu kinyele bila swaga.

Nikiwa sina Laki moja na kuendelea kwenye wallet sijihangaishi na hisia za mademu kwenye anga za harakati.

Je vipi kuhusu nyie mabaharia wenzangu?

kiroho safi tupo nchi ya Lamama wetu.

Wadiz
Hata nikiwa empty handed natongoza tu....kutongoza ni kama mazoezi ya kunoa kucha kwa chui....kwa mwanaume kamili,
 
Back
Top Bottom