Ukiwa na kiasi gani cha pesa kwenye wallet unakosa ujasiri wa kumtongoza mwanamke?

Laki si ndogo sana mzee , buffet pale kilimanjaro hotel hyo ni sahani moja tu .
Ila nkivuta taswira nlipokuwa sina hela ndo lichakata mbususu sana .
 
Kweli tumetofautiana mmi back in the days kabla sijawah tajiri nilikua natongoza watoto wakali walionizid vigezo Ili nisijione mnyonge na nilikua nang'oa hatari pisi za kishua nikaja kujua ile hali ilikua ni inferior complex ndio ilikua ikinitesa kuanzia apo nikaanza kukupiga vita umasikin maana ulikua unanifanya niwe malier sana
 
Kutegemea pesa ndio utongoze ni dhahiri kwamba ww ni domo zege na muhongaji uliyekubuhu
 
Mimi nikiingia kwenye viwanja vyangu huwa sina time na mademu mara nyingi wanakuja wenyewe nilipokaa na wakiniomba niwanunulie kinywaji huwa nawaambia sina hela hata kama ninayo. Demu akiniomba ofa kabla sijaingia maeneo yangu namwambia kabisa baada ya offer tutaenda kulala pamoja kama hayupo tayari asije au aje kwa mambo yake sio kunifuata mimi.
 
Uzi ungeishia hapa. Mkuu usipige kwenye mshono.
 
Ni washamba pekee ndio huwaza hela kwa mwanamke. Kwahyo mleta mada unatafuta zaidi ya laki ukahonge ili upate nyama dah😂😂 nijuavyo mm kama mwanaume kutongoza haihitaji pesa labda ww ulete mambo mengi na kumla dem 1st time haihitaji hela ila ujanja wako tu sasa ukinogewa mwaga matumizi ukiona pabaya jichenge si ushakula mzigo unangoja nn ila ww unakaushamba fulani hata wenye hela hawafanyi hivyo
 
Hata nikiwa empty handed natongoza tu....kutongoza ni kama mazoezi ya kunoa kucha kwa chui....kwa mwanaume kamili,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…