Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kama aliwapa uhuru wa kuchagua mema na mabaya halafu ukichagua mabaya unakufa, Sasa huo ni uhuru au mtego?Hakuwadhibiti kwa sababu aliwapa uhuru wa kuchagua mema au mabaya. Lakini aliwaonya kabla kwamba wakila tunda walilokatazwa watakufa. Hata leo Mungu bado anaonya kwamba kuna hukumu inakuja. Usitarajie atakudhibiti. Ukiamua kumkataa usimlaumu siku ya hukumu.
Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
Huo ni uhuru au mtego?
Ni sawa na wewe uwaambie wanao, Wana uhuru wa kuchagua kwenda shule au kukaa nyumbani, lakini endapo watachagua kukaa nyumbani watachapwa viboko.
Sasa hapo utakuwa umetoa uhuru kwa wanao au mtego?