Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kama aliwapa uhuru wa kuchagua mema na mabaya halafu ukichagua mabaya unakufa, Sasa huo ni uhuru au mtego?Hakuwadhibiti kwa sababu aliwapa uhuru wa kuchagua mema au mabaya. Lakini aliwaonya kabla kwamba wakila tunda walilokatazwa watakufa. Hata leo Mungu bado anaonya kwamba kuna hukumu inakuja. Usitarajie atakudhibiti. Ukiamua kumkataa usimlaumu siku ya hukumu.
Huyo Mungu kwa nini anajificha huko alipo halafu anataka atafutwe?Mungu hajulikani kwako wewe kwakuwa hujamtafuta kwa moyo wa dhati
Isa 55:6-7
Mtafuteni BWANA, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yu karibu. Mtu mbaya na aache njia yake, Na mtu asiye haki aache mawazo yake; Na amrudie BWANA, Naye atamrehemu; Na arejee kwa Mungu wetu, Naye atamsamehe kabisa.
Dah nimefika mwisho wa kujadili hii mada yako hatuwezi kuelewana..Mungu hajulikani kwako wewe kwakuwa hujamtafuta kwa moyo wa dhati
Isa 55:6-7
Mtafuteni BWANA, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yu karibu. Mtu mbaya na aache njia yake, Na mtu asiye haki aache mawazo yake; Na amrudie BWANA, Naye atamrehemu; Na arejee kwa Mungu wetu, Naye atamsamehe kabisa.
Dah nimefika mwisho wa kujadili hii mada yako hatuwezi kuelewana..
Unanukuu mistari ya biblia ambayo haina uhalisia kwa kizazi cha sasa
Nakushauri jaribu kuwa mdadisi wa imani yako hata mimi zaman nilkuwa kama wewe...
ONELOVE!
Pole sana kwa kuchagua kujiunga na kizazi kisicho na imani, kizazi kilichopotoka (Lk 9:41). Geuka kabla neema haijafungwa vinginevyo...Dah nimefika mwisho wa kujadili hii mada yako hatuwezi kuelewana..
Unanukuu mistari ya biblia ambayo haina uhalisia kwa kizazi cha sasa
Nakushauri jaribu kuwa mdadisi wa imani yako hata mimi zaman nilkuwa kama wewe...
ONELOVE!
Pesa Sabuni ya rrhokho
Unatafuta pesa ili ununue hayo mambo au una malengo yako?? Furaha ni nini? Hivi kama furaha yako ni mama yako, lkn anaumwa ukatumia pesa kumtibu hiyo pesa haijakurejeshea furaha?? Au unahs furaha ni kitu km kiatu unakinunua kwa mara1? Furaha na ujinga mwingne wote ulioandikwa ni mchanganyiko wa mambo mengi sana! Hivyo kwa pesa uhai unanunua sana tu!Lengo la uzi sio kuibeza pesa. Pesa ni muhimu. Tuitafute, lakini tujue hatuwezi kuyanunua kwa pesa mambo hayo yaliyotajwa.
Subiri siku yako ya kuondoka duniani ifike, halafu uchukue mapesa yako ununue miaka 20 zaidi ya kuishi kisha uje humu ushuhudie kuwa pesa zinanunua uhai.Unatafuta pesa ili ununue hayo mambo au una malengo yako?? Furaha ni nini? Hivi kama furaha yako ni mama yako, lkn anaumwa ukatumia pesa kumtibu hiyo pesa haijakurejeshea furaha?? Au unahs furaha ni kitu km kiatu unakinunua kwa mara1? Furaha na ujinga mwingne wote ulioandikwa ni mchanganyiko wa mambo mengi sana! Hivyo kwa pesa uhai unanunua sana tu!
Kwahiyo watu wanatafuta pesa ili wasife???Subiri siku yako ya kuondoka duniani ifike, halafu uchukue mapesa yako ununue miaka 20 zaidi ya kuishi kisha uje humu ushuhudie kuwa pesa zinanunua uhai.
Usiseme nanukuu mistari ya Biblia ambayo haina uhalisia kwa kizazi cha sasa. KIzazi cha sasa kina watu wanaoamini; wanaoona uhalisia wa mistari ya Biblia. Mimi ni mmoja wao.Unanukuu mistari ya biblia ambayo haina uhalisia kwa kizazi cha sasa