Ukiwa na miaka 35 na ukaamua kuanza moja kabisa, unatakiwa ujipe muda gani kutoboa au approximation ya kutoboa ipoje?


Bravo, Ushauri mzuri sana Ahsante sana kwa niaba ya wengi
 
Nimeipenda hii
 
Kwa niaba ya niliyeleta uzi na wengine pia, Ipi njia nzuri sana ya kuomba na kupata unachotaka (NB; Dini mkristo KKKT)
 
umejitahidi kushauri.wengine wameandika Pumba.

akitaka kufanikiwa ajifunze kutumia muda wawatu kwaajili yakumuingizia hela nyingi
 
Kuchelewa au kuwahi ni kutokana na kufanya mlinganisho na waliofanikiwa,ukijilinganisha na mtu wa miaka 20 kitu basi utajiona umechelewa na ukijilinganisha na mtu wa age yako utajiona hajakupiga gap sana

Iko hivi boss kila mtu ana namna na mda wa kufanikiwa kimaisha,kwahiyo usikose furaha na amani kwakuwa fulani amefanikiwa,ukianza kuwa hivyo ndio uchawi unaanzia hapo

Siku zote kuwa mwenye shukrani kwa kile ulicho nacho na muombe Mungu akufikishe pale unapopataka,pambana huku ukiwa unatarajia ipo siku moja utafanikiwa,katu usijilinganishe na mtu yeyote yule katika mafanikio

Ila sio vibaya kupambana ufikie kama level za wengine,katu usiwe mnyonge hata kidogo,mda utafika na utashangaa pale utakapo angali nyuma miaka kadhaa na hutaamini macho yako

Keep ur head up never give up boss
 
Ukiona miaka imeenda speed sana na wewe umeshindwa kufanikiwa au haujui umefikaje hiyo miaka na bado huna muelekeo hiyo ni dalili Kuna nguvu ya wachawi au Mizimu ya ukoo inazui mafanikio yako njoo tujiunge na maombi ya usiku utaanza ona mabadiliko na kujua shida ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…