Ukiwa na miaka 35 na ukaamua kuanza moja kabisa, unatakiwa ujipe muda gani kutoboa au approximation ya kutoboa ipoje?

Threads ifunggwee kitu ambacho watz apate pesa asianze kupamba geto kwa sabufa kochi la laki 2 sijui hisense in 42 halafu anatoka saa 11 anarud 6 Usk after 2 yrs fashen zimepitwa ananza kununua vengn hyo hutoboi nara kiwanja na mil 3 kukenga anadunduluza tofali jamni watu wanadundulizq ela ima fixed account au kuinvest with high rewards
 
 
Hakika mkuu, kinachokwamisha Watanzania wengi ndiyo hicho.

Kutumia pesa ili kuonyesha wengine ninazo badala ya kutumia pesa kuongeza pesa.
 
Na kikubwa unachohitaji kuliko vyote ni afya njema, mtaji wa kwanza na WA muhimu kabisa. Ukiwa na utulivu wa akili na nafsi, mengine yanawezekana ila kukubali kwenda Kwa mwendo wako kwenye kutimiza malengo Yako.

Zingatia sana hili, usijisahau hapo nyumbani. Akili italemaa na kuona hata siku ingine mambo yakiwa magumu, utarudi nyumbani kujipanga.

Jambo la kwanza, jitahidi uondoke nyumbani ukapambane mkuu.

Kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…