Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Tufanyeni KAZI kwa bidii pamoja na kuwa na nidhamu ya PESA hakika tutatusua Tu🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani
Tayari ngoma inasoma 35, hujajenga, hujaoa, huna kazi, huna biashara, huna connection yoyote.
Ila vitu ulivyokuwa navyo, una kitanda tayari na mashuka yako na baadhi ya vitu vya ndani, Una degree yako moja, umeamua kurudi nyumbani hapa hapa Dar kwa mzee kujipanga upya, mzee nae amekupokea na amekupa support ya kukwambia kaa mpaka pale wewe utakapo amua kuondoka tena na kwenda kuhusle.
Nafsi yako inasema utatoboa ila kila ukishika simu unaona, kuna yule mwanao wa chuo kaoa, mara unaona kuna mwanao wa secondari kanunua Crown athlete then kaandika God is Good.
Wazoefu ebu tupeni mbinu za hali na Mali, mambo yashaharibika huko.
Tupe muongozo wa kuzamia ahukojikane nafsi ....chukua paspoti ....zamia ukuu mambelee!! , tunabeba boksii kimya kimya tu huku tunapiga dolaa....ngozi ya tako ngozi ya mbupu lazma ufanye maamuzi magumuu
😂😂😂Wewe pambana tu hadi siku ya kukata moto