Ukiwa na miaka 45 bila nyumba jitafakari

Mleta uzi,watakwambia mbona wahindi wanaishi nyumba za NHC/Msajili!
NB:Kuwa na nyumba si sawa na kuwa na makalio.Makalio kila mtu anayo!
sasa hapa utasema mbona hata masela wanalala nje ya frem za wahindi
 
mh ni kwel au unazingua mfano nani
 

Hata baba yako alikuwa anajitahidi familia yenu muwe na maisha mazuri na mlale sehemu nzuri sidhani kama mtu kuwaza kujenga ni vibaya au ni kufanya mashindano!!!

Unless uwe umemuelewa vibaya mleta mada au mimi ndiye sijakuelewa.
 
kuna tofauti hapo nimesema kujitafakari na sio upumbavu kiti chema
 
Mpitaji mtu aliyezaliwa Tanzania na vizazi vyake?Na anaishi NHC tangu utoto hadi anafika miaka 70 na kuendelea?
hujui kuwa wahindi wana roho ya korosho wale jamaa wanaona wakijenga Tz watafaidisha sana taifa
 
Don't let other people metrics of success become yours...though tunashauriwa kujifunza kwa walio fanikiwa

Success Ni suala La muda tuu maana Mungu ndiye anaepanga nani ampe na kwa wakati gani maana scripture zinasema Mungu wetu hawahi wala hachelewi bali hujibu kwa wakatu

Thus, unaweza struggle sana still ukakosa pia kuna time effort kidogo tuu mambo yanakuwa bull bull
Finally naweza conclude kwa kusema kuwa tuzidi kupambana ili tuzifikie ndoto zetu.
 
Huwezi kujifananisha maisha na Mo au Bahakresa wao wana viwanda vinazunguka 24/7 hata wakiambiwa wahame leo mjini posta ndani ya nusu saa watakuwa na jeuri ya kuhamia upanga au kuhama nchi kabisa sasa wewe muajiriwa au whatever you are ukiambiwa uhame haraka ndani ya masaa 24 hatutashangaa kukukuta ndani ya stand ya mwendokasi umejifunika na wanao.

Acheni masihara na maisha nyie,kubali kataa kama huna uhakika wa kufunga faida ya 10mill kwa mwezi bado wewe ni maskini na upo chini ya mstari wa hatari wa kuishi maisha mabovu so lazima ujipange kwa hizi ajali.
 
Nakubali nakubali tuzidi kupambana si bado tunapumua tupambane na jambo ukishasema huwezi haki tena hutoweza kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…