Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba gani hio mkuu inayokufilisi? Binafsi nimenunua magari aina mbali mbali na kujenga pia. Kamwe sijawahi kujuta kujenga. Na huwezi linganisha nyumba na magari hata magumu kama land cruisers ambayo maintenance yake ni ya juu sana na ya gharama. Is the best investment hata kama ni kijijini. Sasa sijui ww unaona investment gani ni nzuri zaidi mkuu.Naam kila mtu anastahili kuwa na sehemu ya kujihifadhi..., zamani nyumba ilikuwa asset ukimaliza, unasahau sasa hivi nyumba inaweza ikawa inakufilisi (maintanance n.k.) na kama sio mzee haujastaafu kuna tozo za kodi na sasa hivi mijini itafika wakati bila kuanzia ghorofa au aina fulani ya nyumba hupewi permit ya kujenga kwahio unaenda kujenga hukoooo in the middle of nowhere...
In short mfumo ninaouna unakuja ni mfumo wa mortgage (developers wanajenga nyumba za viwango sehemu nyingine hata ghorofa alafu watu mnapewa mortgage ya kununua hizo nyumba..., siku mkizeeka au vipi mnaziuza sababu hata kumuachia ndugu yako itabidi alipie inheritance tax na kama hajastaafu inabidi alipia kodi ya jengo (hapo kama hapangishi unakuwa haujamiachia asset bali liability)
In short mambo yanakwenda kwa kasi sana....
Hizi ndiyo nyumba Sasa siyo hizi za kwetu Hadi upige vigae juu...Sio swala hata nikimaliza mwendo na hii sote tutakufa tu anyways sote ni wasafiri😅
View attachment 2078521
Unahisi mimi sina akili kuliko wewe?Huna akili kabisa. Unazidiwa akili na ndege wana nyumba zao
Location..., Location..., LocationNyumba gani hio mkuu inayokufilisi? Binafsi nimenunua magari aina mbali mbali na kujenga pia. Kamwe sijawahi kujuta kujenga. Na huwezi linganisha nyumba na magari hata magumu kama land cruisers ambayo maintenance yake ni ya juu sana na ya gharama. Is the best investment hata kama ni kijijini. Sasa sijui ww unaona investment gani ni nzuri zaidi mkuu.
Kuwaza kujenga na kujenga is one thing which is well and good....Hata baba yako alikuwa anajitahidi familia yenu muwe na maisha mazuri na mlale sehemu nzuri sidhani kama mtu kuwaza kujenga ni vibaya au ni kufanya mashindano!!!
Unless uwe umemuelewa vibaya mleta mada au mimi ndiye sijakuelewa.
GENTAMYCINE, ujumbe wako huoMwanaume akifikisha miaka 45 hadi 50 hapo kibongo bongo walio wengi ndo angalau huwa yuko vizur kimaisha na hii ni kutokana na changamoto za maisha tunazokutana nazo kwenye maisha katika kujipanga na kujiweka sawa kimaisha...
Ila kama hauna hata haka na uko na miaka 45 hadi 50 hapo inabidi kujitafakari upyaa ni wakati wa kuamka toka usingizini.....
Asikuambie mtu kuwa mwanaume sio jambo dogo na jepesi hata kidogo[emoji848][emoji848]
View attachment 2078457View attachment 2078458View attachment 2078459View attachment 2078455
Mwanamke je?Mwanaume mji/nyumba
[emoji848][emoji848]kumbe wafanyabiashara hawajengagi nyumba sikujiaKujenga nyumba ni moja kati ya uwoga wa maisha, sana sana labda kwa wafanyakazi, wafanyakazi ndio wanao jenga, wafanyabiashara wanajenga ili iwaje? Uwekeze zaidi ya 50M kwenye ujenzi badala ya kuizungusha?