Ukiwa na miaka 45 bila nyumba jitafakari

Ukiwa na miaka 45 bila nyumba jitafakari

Mleta uzi,watakwambia mbona wahindi wanaishi nyumba za NHC/Msajili!
NB:Kuwa na nyumba si sawa na kuwa na makalio.Makalio kila mtu anayo!
sasa hapa utasema mbona hata masela wanalala nje ya frem za wahindi
 
Mkuu kwanini umechukulia kuwa nyumba ndio kipimo cha kujitafakari?

Inabidi tuanze kubadili mitazamo yetu sasa. Hivi unajua kuna matajiri wengi sana na ni matajiri haswa ila wananing'inia kwenye magorofa tu ya msajili na nyumba za watu masaki na wana maisha bora mara 1000 yako?
mh ni kwel au unazingua mfano nani
 
Naam kwa mawazo haya ndio maana vifo vya kuuana vimezidi ni mwendo wa mashindano na watu kutokuridhika Anything goes until the end is met.

Yaani ni heri punda afe ili mzigo ufike.... Tatizo kubwa la hili ni watu kuzidi kupata msongo wa mawazo; The Future is Scary.

Hata baba yako alikuwa anajitahidi familia yenu muwe na maisha mazuri na mlale sehemu nzuri sidhani kama mtu kuwaza kujenga ni vibaya au ni kufanya mashindano!!!

Unless uwe umemuelewa vibaya mleta mada au mimi ndiye sijakuelewa.
 
𝐀𝐜𝐡𝐢𝐥𝐢𝐚 𝐦𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐡𝐚𝐤𝐨 𝐤𝐚𝐚𝐣𝐢𝐫𝐚 𝐤𝐚𝐤𝐨 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐢𝐧𝐮𝐥𝐢𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐳𝐚𝐳𝐢,
𝐢𝐧𝐠𝐞𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐮𝐦𝐫𝐢 𝐡𝐮𝐨 𝐮𝐧𝐠𝐞𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐧𝐚 𝐛𝐚𝐢𝐬𝐤𝐞𝐥𝐢,
Maisha usiyachukulie simple bwana ndogo, Kila mtu na namna alivyo pangiwa na Mungu, kuna watu usiku kucha wanafanya kazi za kuhatarisha maisha yao lakini bado maisha hayajawanyookea,
acha kushiba na kumtukana mwenye njaa kwa kusema ni upumbavu wake
kuna tofauti hapo nimesema kujitafakari na sio upumbavu kiti chema
 
Mpitaji mtu aliyezaliwa Tanzania na vizazi vyake?Na anaishi NHC tangu utoto hadi anafika miaka 70 na kuendelea?
hujui kuwa wahindi wana roho ya korosho wale jamaa wanaona wakijenga Tz watafaidisha sana taifa
 
20220112_141758.jpg
 
Mwanaume akifikisha miaka 45 hadi 50 hapo kibongo bongo walio wengi ndo angalau huwa yuko vizur kimaisha na hii ni kutokana na changamoto za maisha tunazokutana nazo kwenye maisha katika kujipanga na kujiweka sawa kimaisha...

Ila kama hauna hata haka na uko na miaka 45 hadi 50 hapo inabidi kujitafakari upyaa ni wakati wa kuamka toka usingizini.....
Asikuambie mtu kuwa mwanaume sio jambo dogo na jepesi hata kidogo[emoji848][emoji848]
View attachment 2078457View attachment 2078458View attachment 2078459View attachment 2078455
Don't let other people metrics of success become yours...though tunashauriwa kujifunza kwa walio fanikiwa

Success Ni suala La muda tuu maana Mungu ndiye anaepanga nani ampe na kwa wakati gani maana scripture zinasema Mungu wetu hawahi wala hachelewi bali hujibu kwa wakatu

Thus, unaweza struggle sana still ukakosa pia kuna time effort kidogo tuu mambo yanakuwa bull bull
Finally naweza conclude kwa kusema kuwa tuzidi kupambana ili tuzifikie ndoto zetu.
 
Mkuu kwanini umechukulia kuwa nyumba ndio kipimo cha kujitafakari?

Inabidi tuanze kubadili mitazamo yetu sasa. Hivi unajua kuna matajiri wengi sana na ni matajiri haswa ila wananing'inia kwenye magorofa tu ya msajili na nyumba za watu masaki na wana maisha bora mara 1000 yako?
Huwezi kujifananisha maisha na Mo au Bahakresa wao wana viwanda vinazunguka 24/7 hata wakiambiwa wahame leo mjini posta ndani ya nusu saa watakuwa na jeuri ya kuhamia upanga au kuhama nchi kabisa sasa wewe muajiriwa au whatever you are ukiambiwa uhame haraka ndani ya masaa 24 hatutashangaa kukukuta ndani ya stand ya mwendokasi umejifunika na wanao.

Acheni masihara na maisha nyie,kubali kataa kama huna uhakika wa kufunga faida ya 10mill kwa mwezi bado wewe ni maskini na upo chini ya mstari wa hatari wa kuishi maisha mabovu so lazima ujipange kwa hizi ajali.
 
Don't let other people metrics of success become yours...though tunashauriwa kujifunza kwa walio fanikiwa

Success Ni suala La muda tuu maana Mungu ndiye anaepanga nani ampe na kwa wakati gani maana scripture zinasema Mungu wetu hawahi wala hachelewi bali hujibu kwa wakatu

Thus, unaweza struggle sana still ukakosa pia kuna time effort kidogo tuu mambo yanakuwa bull bull
Finally naweza conclude kwa kusema kuwa tuzidi kupambana ili tuzifikie ndoto zetu.
Nakubali nakubali tuzidi kupambana si bado tunapumua tupambane na jambo ukishasema huwezi haki tena hutoweza kwel
 
Back
Top Bottom