Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,135
- 4,306
Endelea kujidanganya kwa kujifananisha na wahindi🤣🤣🤣Wahindi wengi sana mkuu wako na mbumba za maana ila hawana nyumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kujidanganya kwa kujifananisha na wahindi🤣🤣🤣Wahindi wengi sana mkuu wako na mbumba za maana ila hawana nyumba
Jengo sio lazima liwe nyumba ya kuishi. Nyumba za biashara za kukodi.. Go downs au warehouses za kutunzia goods.. apartments pia.. lakini sio lazima unajenga nyumba kubwa ukitegemea familia moja tu iikodi. Pamoja na kodi zote hizo, bado real estate ni investment nzuri sana na yente uhakika zaidi ya nyingine nyingiLocation..., Location..., Location
Tunakoelekea lazima ulipie yafuatayo katika nyumba husika
Kwahio utaona kwamba kuna cultural changes nyumba badala ya kukuingia inaweza ikakugharimu hususan huku Bongo ambapo wapangaji sio wastaarabu (rent kulipa shida na wakiondoka uharibifu ni mkubwa) na wakikupa pesa nzuri ni usumbufu wa kurekebisha hiki au kile..., unaweza ukaamua kufukuza wote ili hata uweke mifugo....
- Cleaning / Upkeep (hivyo kama eneo ni kubwa kuliko uwezo wako wa kufanya mwenyewe lazima uweke mfanyakazi na usipoweka mfanyakazi ufanye mwenyewe bado utalipia gharama ya muda.
- Kodi ya Jengo; Kama hupangishi hivyo hauingizi ni kwamba unazitoa.
- Maintanance; Nyumba inahitaji maintenance..
Duh Mkuu hapa umeandika nini na mimi nilisema nini hapo mwanzo ? Nyumba inaweza ikakufilisi sijasema nyumba zote zinafilisi...Jengo sio lazima liwe nyumba ya kuishi. Nyumba za biashara za kukodi.. Go downs au warehouses za kutunzia goods.. apartments pia.. lakini sio lazima unajenga nyumba kubwa ukitegemea familia moja tu iikodi. Pamoja na kodi zote hizo, bado real estate ni investment nzuri sana na yente uhakika zaidi ya nyingine nyingi
Exactly.. nothing is 100%. Also best investments ni long term investments sababu zinakupa sustainability nzuri. Using other people's money kama mikopp binafsi sifanyi huo mchezo kwa sasa. Hapo laza ufilisike. Time will come baada ya kuwa na portfolio nzuri. Kukopa ili kujenga wakati mtu bado haujabobea vizuri in real estate ni KOSA KUBWA.Duh Mkuu hapa umeandika nini na mimi nilisema nini hapo mwanzo ? Nyumba inaweza ikakufilisi sijasema nyumba zote zinafilisi...
Real estate is a game using other people's money kuweza ku-climb a property ladder, ina kanuni zake na sio kila jengo / nyumba linaweza lika-break even..., its a long term investment the more houses you have the more you can build bila hata kutumia senti yako hata moja (other peoples money) renters wanakulipa na wewe unalipa mikopo mwisho wa siku una-own the house...
Huwezi kusema kila nyumba inalipa wakati property market ikiwa chini au mtaa fulani kulingana na value yake (either crime au watu hawapapendi) kodi zake zipo chini kulingana na value ya nyumba husika....
Pili unaweza kwenda sehemu demand ni ndogo kuliko supply hence badala ya kuweka vitu (mizigo) au watu Ukajikuta unafuga buibui na jengo kubadilika kuwa gofu...
Msemo wa As safe as a House sio 100 Percent..., realistically nothing ni 100 %. Pia hapa point ni House as investment kama inajilipia ni sawa ila inaweza ikawa house as a prestige ikawa inakunyonya tu
Mkuu kutoka kwa kina Trump hadi wote waliobobea kwenye Real Estate; Other People's Money is their Mantra yaani hii ndio kanuni kubwa kuliko zote...... Kwanini nasema hivyo....Exactly.. nothing is 100%. Also best investments ni long term investments sababu zinakupa sustainability nzuri. Using other people's money kama mikopp binafsi sifanyi huo mchezo kwa sasa. Hapo laza ufilisike. Time will come baada ya kuwa na portfolio nzuri. Kukopa ili kujenga wakati mtu bado haujabobea vizuri in real estate ni KOSA KUBWA.
Mwanamke je?
umenena vizuri sana sana[emoji122][emoji122]Mwanamke kujenga au kumiliki nyumba ipo na ni furaha sana.
Ila mwanaume kumiliki nyumba ni heshma, nguvu zaidi na mamlaka kwa asili, mila&desturi na misingi ya Imani.
Ndio maana ni rahisi mwanamke kwenda kuishi kwenye nyumba ya mume ukweni kiumeni kuliko mwanaume kwenda kuishi kwenye nyumba mkewe aliyojenga kwao kikeni
Unataka wajenge aje Rais mwenye roho mbaya awanyanganye tena kama walivyo taifishwa huko nyuma na hii ni Laana kubwa kunyanganya mali za watu ndio maana hadi leo NHC a.k.a MSAJILI WA MAJUMBA hawana maendeleo yoyote na hawatokuja kuwa na maendeleo yoyote sababu walianza na nyumba za Dhuluma .hujui kuwa wahindi wana roho ya korosho wale jamaa wanaona wakijenga Tz watafaidisha sana taifa
[emoji23][emoji23]sasa jee ni mwendo wa kufilisi tu wakikaa vibaya halafu unajua kuwa kuna wahindi wengi sio raia huwa wanaitana tu nakumbuka nilikuwa sehemu moja nafanya kaz kwa wahindi wale jamaa walikuwa waoga kwa polisi balaa yaan ukiwatajia polisi tu wanakuwa wapole balaa na kukudhulumu wanaghairiUnataka wajenge aje Rais mwenye roho mbaya awanyanganye tena kama walivyo taifishwa huko nyuma na hii ni Laana kubwa kunyanganya mali za watu ndio maana hadi leo NHC a.k.a MSAJILI WA MAJUMBA hawana maendeleo yoyote na hawatokuja kuwa na maendeleo yoyote sababu walianza na nyumba za Dhuluma .
Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
Trump amekuwa bankrupt mara ngapi? Watu mnaongelea sana habari ya kutumia other people's money.. unafikiria inatoka tu? Ukicheza ndio unafilisika. Ww subiri tu other people's money. Wengine tunaendelea tu kwa sasa na ya kwetu iliopo pasipo kutegemea hio. I hope ww sio mmoja ya watu wanaotegemea other people's money kuwekeza. Trump alizaliwa kwenye utajiri sana na babake teari alikuwa na real estate properties nyingi sana.. kwake ilikuwa rahisi sana kupata investors na mikopo.. sasa ww mfano kama hauna hata real estate za maana halafu eti unategemea other people's money UTAZEEKA BADO UNAISUBIRI TU NA HAUTAJENGA HATA KITU CHA MAANA. Pole sana HALAFU MAMBO YA SISI WAAFRIKA KUJILINGANISHA NA WAZUNGU KAMA TRUMP MUACHE AISEE. Watu tofauti kabisa na maisha tofauti kabisa.. hakuna mantiki kabisa hapo kujilinganisha nao sababu njia waliopitia na unayopitia ww NI TOFAUTI SANA SANAMkuu kutoka kwa kina Trump hadi wote waliobobea kwenye Real Estate; Other People's Money is their Mantra yaani hii ndio kanuni kubwa kuliko zote...... Kwanini nasema hivyo....
Real estate ni long term na kutumia cash yako ni matumizi mabovu ya cashflow..., Yaani utumie trilioni zako 70 kutoka benki na kuziweka kwenye jengo ambalo huenda return ikarudi baada ya miaka 50; wakati huenda hio pesa ungeifanyia mambo mengine ni matumizi mabovu ya cashflow... kwahio huu mchezo unachezwa vipi ?
Unachukua mkopo wa long term kulipa kujenga jengo la kwanza kwenye location nzuri ukiwa na uhakika labda wapangaji watalipa pesa yako kurudi hata kama ni miaka 50 (sasa hapo ndio location matters, na kwa bongo ni risky kutokana na usumbufu wa wapangaji na ulipaji)
Hilo Jengo likiisha unaweza kulitumia jengo hilo hilo kuomba mikopo kujenga la pili na la tatu and so on...., hapo unatumia pesa za walipa kodi kukulipia mortgage / mikopo benki kwahio unatumia pesa zao kukujengea wewe..... Ila as I said kibongo bongo this market is not as sweet kutokana na watu / wapangaji kukosa ustaarabu na system ya cross checking an property managers wazuri kwa huku bado leaves a lot to be desired
Mwanaume mashine 😎Mwanaume mji/nyumba