KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Waliozoea kudhulumu au kutolipa wakibanwa huona wameonewa.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ni kweli wengi wanakopa halafu wanatupa Lakini na kucheka Cheka kibwege kuwa nimewakomoa songesha nk alivyo mjinga anadhani deni liko kwenye line ya simu hajui kuwa deni liko benki na halifutiki linaendelea tu kuzaa riba kuongezeka Siku akipeleka maombi yake ya mkopo benki inakula kwake hapati

Halafu anaanza kukia Lia humu
 
SONGESHA kuzuia watu kukopa Kwenye mabank ni ujinga watakoswa wateja hasa watumishi ambao Kwao kulipa siyo inshu
 
Voda MPAWA wanakopesha mpaka 10M
 
We Sasa too much unaleta utoto wa mawazo yako binafsi... Hebu tutolee ukolo hapa ... Ushaeleza mwanzo tumekuelewa Sasa Kila unaloulizwa unalijibu. Chumvi nyingi as if Sasa umekua Mtumishi wa Songesha... Hebu Kalipe hela yao bana...
 
Hii mikopo ya simu ni Kausha Damu tu, Riba kila siku inapanda ndio mkopo wa aina gani, ni bora ifutwe kabisa.
 
Kuna mimtu humu inatoa hoja za kupuuzwa, benki ni wajinga kiasi hicho??

Ok let's say ni wajinga, Ina maana hawana wasomi wa fedha hata wawili ambao wakaja na wazo labda huyu mtu anataka akope Milioni kumi, hiyo CRB inaonesha si mlipaji ni msumbufu (alikopa Songesha) lakini kwa benki ana dhamana ya mshahara, Songesha hakuweka dhamana, kwamba benki ishindwe kumfatilia huyo mteja huko Songesha alikopa shilingi ngapi (bila dhamana) na huku benki anataka Milioni kumi, so tumpe Milioni 6 tumuone na hapo ili apewe basi akubali sharti la kukatwa madeni mengine anayodaiwa Inayobaki ndio apewe. SO INAMAANA BENKI ZOOTE HAZIONI HII OPTION ZIFATE MAWAZO YA KI'PRIMITIVE YA BAADHI YA WATU HUMU.

Hebu tuwe Great Thinkers Bana!!
 
Benk zinategemea faida za mikopo,haziwezi ruhusu vikwazo duni namna hiyo wakose faida yao ya kuwaweka mjini.
 
Tutawapeleka mahakamani, haiwezekani nikope Voda halafu benki ndio wawe wadai wangu!

Mtatulipa tuu na fidiaa, na hela zenu HATUWAPI majizi makubwa nyie.

Kwanza mnatutapeli sana bando zetu.
 
du nimevuta mkeka wangu wa madeni credit bureau aisee ni shida unaonyesha hadi laini nilizowasajilia watu kumbe wamekopa kwa niaba yangu aisee nimekuta hadi jome tanzania finance limited hawa sijui wanamkopo gani wa simu au ndio wale branch sijui tala
 
We Sasa too much unaleta utoto wa mawazo yako binafsi... Hebu tutolee ukolo hapa ... Ushaeleza mwanzo tumekuelewa Sasa Kila unaloulizwa unalijibu. Chumvi nyingi as if Sasa umekua Mtumishi wa Songesha... Hebu Kalipe hela yao bana...
Duh! Haya
 
Kama ni mtumishi hukopesheki aisee 😃
 
Wangetumia hizo njia na kuwakamata wale wa "Ile hela tuma kwenye hii no."ingependeza Sana.
 
Songesha Iko Chini ya Tanzania Commercial Bank ni kitengo Cha Cha benki ukikopa ni sawa na umekopa benki record zako linaonyesha ulikopa benki ya Tanzania Commercial bank na hulipi
Nivushe ipo chini ya Letshego.
 
Unataka kusema Mteja wa Vodacom Songesha anaweza kuwa na Deni linaloweza kuathiri kukopeshwa na Benki?

Kivipi jambo hilo likahusiana?
Huyu atakuwa na matatizo yake binafsi
 
Huyu atakuwa na matatizo yake binafsi
Mwenyewe sikuona hiyo connectivity kati ya Deni la Songesha na hilo la Benki 🙌

Huenda jamaa yupo Jikoni kwenye hayo Mabenki, hivyo anajua mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…