Laini hizo ulizovunja kazifufue ulipe madeni ya watu utakuja uziwa Mali zako na dalali wa mahakama wanakulia timing deni lifike mamilioni pamoja riba halafu wakuzukieNaona watuwa wa Finca mmejikusanya kuja tutisha raia humu. Raia washavunja laini.
Unasongesha kutoka bank, mitandao ya simu ni uchochoro tuu.Mkopo wa songesha na bank wapi na wapi? Au mimi sijaelewa?
Anayekumulika mchana jua linawaka usiku atakuchomaWaache kunikata laki 5 kwrnye mshahara kisa elfu 10 ya songesha!
Mitaani Kuna mtu aweza zunguka mtaa mzima kukopa elfu moja hapati sababu ya huu ujinga Mtu anakukopa elfu moja ukienda kumdai kelele kibao elfu moja ni kitu Gani Hadi kunikomalia kunidai elfu moja nayo ni Pesa ya kudai mtu anajifanya mjanja matokeo mtaa mzima au ndugu na watu wa karibu yake wanaambizana yule hata akija kuomba kukopa mia tano usimpe hata kama una mamilioni yasiyo na kazi mkononi huwa halipi huyoWaache kunikata laki 5 kwrnye mshahara kisa elfu 10 ya songesha!
Ni mpumbavu pekee anayeweza kukataa kumkopesha mtumishi wa Umma 20,000,000 kisa anadaiwa na songesa 20,000. Narudia tena ni mpumbavu pekee.Ndio,ukiwa na mkopo ukapitisha siku Moja unapelekwa Kwenye mamlaka ya wadaiwa sugu unakoswa sifa za kukopa bank
Timiza ya Airtel wamenitumia ujumbe kuwa watanishtaki Kila mahaliSONGESHA na MIKOPO mingine ya simu imepelekea watumishi KUNYIMWA mikopo WAnapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk,risk na low risk katika kadiri mteja anaposongesha.
Hilo limetokea Leo Mimi mwenyewe nilipoenda bank na kuingia Kwenye mfumo wa ess utumishi, bank walivyoingia na kutumia mkopo ukawa rejected,nikaenda voda nikawalipa SONGESHA yote lakini Bado mfumo ulisoma high risk.
Nawashauri wale ambao hamjaingia Kwenye hili jini SONGESHA msijalibu mbeleni litawaleta shida
Mamlaka zinasimamia Mikopo hili LA simu hasa Mikopo ya nivushe,SONGESHA,Gold,bustisha ziwe na term of condition,Yani taratibu za mwanachama kukubali
Timiza ya Airtel wamenileta sms ya vitisho baada ya kuchelewa kurudisha 4500 kwa siku nne na kutishia kunishitaki kwenye mamlaka zote za mkopo.SONGESHA na MIKOPO mingine ya simu imepelekea watumishi KUNYIMWA mikopo WAnapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk,risk na low risk katika kadiri mteja anaposongesha.
Hilo limetokea Leo Mimi mwenyewe nilipoenda bank na kuingia Kwenye mfumo wa ess utumishi, bank walivyoingia na kutumia mkopo ukawa rejected,nikaenda voda nikawalipa SONGESHA yote lakini Bado mfumo ulisoma high risk.
Nawashauri wale ambao hamjaingia Kwenye hili jini SONGESHA msijalibu mbeleni litawaleta shida
Mamlaka zinasimamia Mikopo hili LA simu hasa Mikopo ya nivushe,SONGESHA,Gold,bustisha ziwe na term of condition,Yani taratibu za mwanachama kukubali
[emoji23] [emoji23]Umekuja kijanja sana ila nikwambie tu HATULIPI.
Yupo sahihi inasoma hadi credit bureau na kama imechukua muda ujalipa hata buku mbili inasoma kama mkopaji sugu.Mkopo wa songesha na bank wapi na wapi? Au mimi sijaelewa?
Leo nimesikia kuwa CRDB watashirikiana na Tigo kutoa mikopo.Iko hivi mikopo ya mitamdao ya simu inatolewa kutoka benki fulani.
Tigo- azania (kama sikakosea)
Airtel -(baclays zamani sijajua kwa sasa kama wako na ABSA)
Voda -FINCA microfinance
Wewe hujielewi Sasa hivi ni ulimwengu wa kidigitali.Hakuna ofisa mikopo anafanya kazi manually Kila kitu Kiko kwenye system ya computer.Ukiomba mkopo computer inaenda kuangalia padt records zako je mlipaji mzuri ukikopa imekuwa programmed kama siyo.inaleta jibu no hata kama ulikopa elfu moja hujurejesha na Sasa unabuwezo wa kurejesha Kwa Mwezi milioni 1000Ni mpumbavu pekee anayeweza kukataa kumkopesha mtumishi wa Umma 20,000,000 kisa anadaiwa na songesa 20,000. Narudia tena ni mpumbavu pekee.
Lipa kwawakati kuepukana na kadhia hiyo ila unapochelewesha kurejesha unakuwa termed as high risk customer lakini pia ukiwa na open contract nyingi inakua high risk pia watu wengi walikua wana default kwakudhani hakutakua na madhara ila now wakopaji wote wanaingizwa kwa CRB,hii ilishatokea Kenya hadi serikali ikaingilia kati kuomba CRB records za defaulters zifutwe mana kila mkopaji alikua high risk muhimu nikuzingatia vigezo na masharti ambacho kimoja wapo nikurejesha mikopo ya watu kwa wakati kuepusha hizo kadhiaSONGESHA na MIKOPO mingine ya simu imepelekea watumishi KUNYIMWA mikopo WAnapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk,risk na low risk katika kadiri mteja anaposongesha.
Hilo limetokea Leo Mimi mwenyewe nilipoenda bank na kuingia Kwenye mfumo wa ess utumishi, bank walivyoingia na kutumia mkopo ukawa rejected,nikaenda voda nikawalipa SONGESHA yote lakini Bado mfumo ulisoma high risk.
Nawashauri wale ambao hamjaingia Kwenye hili jini SONGESHA msijalibu mbeleni litawaleta shida
Mamlaka zinasimamia Mikopo hili LA simu hasa Mikopo ya nivushe, SONGESHA, Gold, bustisha ziwe na term of condition, Yani taratibu za mwanachama kukubali
Mikopo yote hutakiwi kuzidi mwezi soma terms and conditions kabla yakujiunga ndio mana kjna option yakulipa partial then una top up ila kila draw down inahesabika kulingana na ulivyochukua katika ile limit yakoKwa maana hiyo ulikuwa unadaiwa Songesha ila hutaki kuwalipa Vodacom . Badala yake ukaenda kukopa kwingineko ili nao usiwalipe.
Kama ambavyo Vodacom wameshauri wakopeshaji wenzao wasikukopeshe maana una udhaifu wa kutolipa deni.
Ina maana Songesha walikukopesha hela bila wewe kukubali?
Hukuwa umeomba, au uliomba ila "haukukubali"?
Hela hiyo uliyosongobekwa kwa lazima ulitumia au hukutumia?
Hata Mimi hapa mahitaji maelezo maana huo mfumo wa ESS nimeishautumia na SONGESHA nilikuwa nayo.Mkopo wa songesha na bank wapi na wapi? Au mimi sijaelewa?