KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Waache kunikata laki 5 kwrnye mshahara kisa elfu 10 ya songesha!
Anayekumulika mchana jua linawaka usiku atakuchoma

Elfu 10 uliyomkopesha halipi ukimpa milioni ataingia gizani

Biblia inatamka wazi kuwa mtu mwaminifu kwenye mambo madogo ndiye hustahili kuaminiwa mambo makubwa

Elfu 10 uliyokopeshwa ndogo umeshindwa kuwa mwaminifu makubwa utaweza hata mimi nisingekubali

Na hii ndio shida ya baadhi ya watanzania kudharau uaminifu wa kidogo .Mtu anakukopa Buku anaingia mitini anadhani yeye ndie mjanja sana kuliko uliyemkopesha

Ukimdai anafoka elfu moja ndio unanidai hivi elfu moja ni kitu Gani? Ujanja mwingi mwisho kutumbuliwa shimoni kwenye shimo la choo
 
Waache kunikata laki 5 kwrnye mshahara kisa elfu 10 ya songesha!
Mitaani Kuna mtu aweza zunguka mtaa mzima kukopa elfu moja hapati sababu ya huu ujinga Mtu anakukopa elfu moja ukienda kumdai kelele kibao elfu moja ni kitu Gani Hadi kunikomalia kunidai elfu moja nayo ni Pesa ya kudai mtu anajifanya mjanja matokeo mtaa mzima au ndugu na watu wa karibu yake wanaambizana yule hata akija kuomba kukopa mia tano usimpe hata kama una mamilioni yasiyo na kazi mkononi huwa halipi huyo
 
Mkuu that is normal na taasisi za kukopesha, zinapokopesha hio ni risk kwahio huo kuna taasisi za credit rating ambazo zinaku-rank accordingly issue sio kukopa (wanapenda wakopaji) issue ni kurudisha kwa wakati tena ukiwa unakopa na kurudisha on time pesa inapanda maradufu (sababu wanajua wewe ni kitega uchumi na unawazalishia pesa yaani pesa nje nje unawatajirisha
 
SONGESHA na MIKOPO mingine ya simu imepelekea watumishi KUNYIMWA mikopo WAnapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk,risk na low risk katika kadiri mteja anaposongesha.

Hilo limetokea Leo Mimi mwenyewe nilipoenda bank na kuingia Kwenye mfumo wa ess utumishi, bank walivyoingia na kutumia mkopo ukawa rejected,nikaenda voda nikawalipa SONGESHA yote lakini Bado mfumo ulisoma high risk.

Nawashauri wale ambao hamjaingia Kwenye hili jini SONGESHA msijalibu mbeleni litawaleta shida

Mamlaka zinasimamia Mikopo hili LA simu hasa Mikopo ya nivushe,SONGESHA,Gold,bustisha ziwe na term of condition,Yani taratibu za mwanachama kukubali
Timiza ya Airtel wamenitumia ujumbe kuwa watanishtaki Kila mahali

Timiza ya Airtel wamenileta sms ya vitisho baada ya kuchelewa kurudisha 4500 kwa siku nne na kutishia kunishitaki kwenye mamlaka zote za mkopo.
Hawa wahuni ni sawa na wahuni wa on line mikopo kausha damu.
 
Watu wengi naona wanabisha, kuna kitu kinaitwa credit bureau, hawa wanasajili wadau wote wanaotoa mikopo kuanzia Microfinance, banks, na loan board na taaaisi zingine zote za fedha. Na taaaisis hizo zinalipia charges kusajili taarifa za wateja wao kwa maana hiyi ukienda kukopa bank, au mm mkopeshaji kama nataka kukukopesha nakusearch katika taasisi hiyo napata infos zako zote za mikopo yako inasaidia micro finance kuwafyeka matapeli wa kukopa huku na kukimbilia kukopa kule tena.
 
Hawa songesha wananitia majaribuni, kila siku sms ya songesha inasubiri kukamilisha muamala wako wa Tshs 18,000/= wakati mwingine unakuwa umepigika unashangaa sms hiyo kwenye simu, ngoja niwalie timing, ikifika 30,000/= nasongesha nalala mbele watajua wenyewe huko
 
Mkopo wa songesha na bank wapi na wapi? Au mimi sijaelewa?
Yupo sahihi inasoma hadi credit bureau na kama imechukua muda ujalipa hata buku mbili inasoma kama mkopaji sugu.

Hii scenario imenitokea nilivyomsajilia mdogo wangu laini ya simu akakopa bila kujua, alikopa elfu 20 deni limekaa miaka 3 bila kulipwa nikaoneka ni mkopaji sugu.

Nilienda pale FINCA headquarters ndio wamiliki wa hiyo SONGESHA lakini niliambiwa kwenye system itafutika baada ya miaka 6,kwaiyo nilishindwa kukopeshwa mamilioni ya pesa kisa hilo deni.
 
Ni mpumbavu pekee anayeweza kukataa kumkopesha mtumishi wa Umma 20,000,000 kisa anadaiwa na songesa 20,000. Narudia tena ni mpumbavu pekee.
Wewe hujielewi Sasa hivi ni ulimwengu wa kidigitali.Hakuna ofisa mikopo anafanya kazi manually Kila kitu Kiko kwenye system ya computer.Ukiomba mkopo computer inaenda kuangalia padt records zako je mlipaji mzuri ukikopa imekuwa programmed kama siyo.inaleta jibu no hata kama ulikopa elfu moja hujurejesha na Sasa unabuwezo wa kurejesha Kwa Mwezi milioni 1000

Sasa kama una pesa ya kukatwa laki mbili Kwa mwezi unashindwa nini kulipa elfu 20 ? Kutolipa elfu 20 ni kiashiria kuwa wewe tapeli na maafisa utumishi wako Kutaka kutapeli benki system ya computer imekutema haitapeliki
Ukiwavl na mkopo wa mtandao Uwe wa simu au online lipa

Sasa hivi takwimu za history za ukopaji na ulipaji ukienda benki Ni Kwa system ya computer tu ikisema NO hakuna wa kukupa mkopo na hawajisumbui kuhakiki kuwa unadaiwa elfu 20 au shilingi kumi wanajua wewe hufai kukopeshwa msumbufu na tapeli
 
Credit rating ni muhimu sana katika uchumi wa nchi ndani na nje. Ukifanya credit rating unapunguza risk za kupoteza pesa na rasilimali zingine. Kama taifa tumechelewa lakini sasa ndiko tunakoelekea na hatuna mbadala. Tukiweza tutakidhi vigezo vya kimataifa, na kupata mikopo tunayoihitajia na tuta fanikiwa kupewa riba ndogo au kubwa kutegemeanan na credit rating yetu.

Na ili kujenge credit, kulipa deni lote haikupi nafuu hapo hapo. Deni unatakiwa ulipe kulingana na masharti mliyowekeana ulipokuwa una kopa. Na ulipe fidia unapojisahau au kufanya makusudi unapojichelewesha.
Tukienda hivi tunaweza kuaminika kimataifa na tukafanya biashara zenye maana na kupata wawekezaji wazuri hasa mifumo ya pesa, inapokaa imara.

International credit rating, haziji tu kama ndani ya nchi mifumo ya pesa haifuati sheria za kifedha.

Mwanzo mzuri.
 
SONGESHA na MIKOPO mingine ya simu imepelekea watumishi KUNYIMWA mikopo WAnapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk,risk na low risk katika kadiri mteja anaposongesha.

Hilo limetokea Leo Mimi mwenyewe nilipoenda bank na kuingia Kwenye mfumo wa ess utumishi, bank walivyoingia na kutumia mkopo ukawa rejected,nikaenda voda nikawalipa SONGESHA yote lakini Bado mfumo ulisoma high risk.

Nawashauri wale ambao hamjaingia Kwenye hili jini SONGESHA msijalibu mbeleni litawaleta shida

Mamlaka zinasimamia Mikopo hili LA simu hasa Mikopo ya nivushe, SONGESHA, Gold, bustisha ziwe na term of condition, Yani taratibu za mwanachama kukubali
Lipa kwawakati kuepukana na kadhia hiyo ila unapochelewesha kurejesha unakuwa termed as high risk customer lakini pia ukiwa na open contract nyingi inakua high risk pia watu wengi walikua wana default kwakudhani hakutakua na madhara ila now wakopaji wote wanaingizwa kwa CRB,hii ilishatokea Kenya hadi serikali ikaingilia kati kuomba CRB records za defaulters zifutwe mana kila mkopaji alikua high risk muhimu nikuzingatia vigezo na masharti ambacho kimoja wapo nikurejesha mikopo ya watu kwa wakati kuepusha hizo kadhia
 
Kwa maana hiyo ulikuwa unadaiwa Songesha ila hutaki kuwalipa Vodacom . Badala yake ukaenda kukopa kwingineko ili nao usiwalipe.

Kama ambavyo Vodacom wameshauri wakopeshaji wenzao wasikukopeshe maana una udhaifu wa kutolipa deni.

Ina maana Songesha walikukopesha hela bila wewe kukubali?

Hukuwa umeomba, au uliomba ila "haukukubali"?

Hela hiyo uliyosongobekwa kwa lazima ulitumia au hukutumia?
Mikopo yote hutakiwi kuzidi mwezi soma terms and conditions kabla yakujiunga ndio mana kjna option yakulipa partial then una top up ila kila draw down inahesabika kulingana na ulivyochukua katika ile limit yako
 
Back
Top Bottom