Ukiwa na Mkweo usisome majina ya Kijapani kwa sauti!!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
NI ushauri tu kwa vijana ambao huwa wanataka sifa mbele ya wakwe zao kuonesha wanajua mambo mengi. Tafadhali sana usijaribu kusoma kwa sauti majina ya Kijapani ukiwa ukweni ama na mkweo!!
 
kwa nini? mbona majina mazuri tu
mfano HONDA, ISUZU, TOYOTA, YOKOHAMA nk. una tatizo gani na majina ya kijepu
 
Hayo ni majina ya vitu siyo ya watu. Ni ushauri tu kuna kijana mwenzio yamemkuta makubwa!!
 
NI ushauri tu kwa vijana ambao huwa wanataka sifa mbele ya wakwe zao kuonesha wanajua mambo mengi. Tafadhali sana usijaribu kusoma kwa sauti majina ya Kijapani ukiwa ukweni ama na mkweo!!
Siyo majina ya Kijapani tu, hata baadhi ya majina ya Watanzania.

Kama hiyo haitoshi, kuna mistari ya biblia ndiyo kabisa haisomeki kwa sauti, mbele ya yeyote.
 
Inshu ndogo kama hii umeweka na udini tayari,
Sisi pia tukianza kuweka mistari ya quran yenye ukakasi unajua itakuwaje?
Shangazi nenda msikitin, wenzako muda huu wanatupigia kelele na vipaza sauti vyao wakati huu ni muda muafaka wa kula kitimoto mkaango.
 
NI ushauri tu kwa vijana ambao huwa wanataka sifa mbele ya wakwe zao kuonesha wanajua mambo mengi. Tafadhali sana usijaribu kusoma kwa sauti majina ya Kijapani ukiwa ukweni ama na mkweo!!
ABOUT KUMAMOTO CITY
 
Ikitajwa biblia ni udini?

Ukiwataja Wajapani siyo ukabila?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…