Ukiwa na Mkweo usisome majina ya Kijapani kwa sauti!!

Ukiwa na Mkweo usisome majina ya Kijapani kwa sauti!!

Kuna siku sportpesa walinitumia msg ya mechi kali za siku nikashangaa moja ina jina la uchi wa kike wa moto (punguza volume halafu litaje). Na bado kuna maji yanaitwa mavi japan hukohuko.
Tutoke huko twende jirani Congo, kuna mtaa unaitwa P*MBU AVENUE
[emoji1] [emoji1] [emoji1] acheni masikhara aisee
 
Siyo majina ya Kijapani tu, hata baadhi ya majina ya Watanzania.

Kama hiyo haitoshi, kuna mistari ya biblia ndiyo kabisa haisomeki kwa sauti, mbele ya yeyote.
Sio kila muislamu ni mdini kama wewe, muda mwingine ficha upumbavu wako ili uiheshimishe dini yako.
 
NI ushauri tu kwa vijana ambao huwa wanataka sifa mbele ya wakwe zao kuonesha wanajua mambo mengi. Tafadhali sana usijaribu kusoma kwa sauti majina ya Kijapani ukiwa ukweni ama na mkweo!!
Kuna timu inaitwa kumamoto fc
 
Mnashangaa mjina ya kijapani wakati hapa hapa Tz hasa kule kwetu kanda ya akina meku kuna watu wanaitwa MBORO/MBOLO.
 
Siyo majina ya Kijapani tu, hata baadhi ya majina ya Watanzania.

Kama hiyo haitoshi, kuna mistari ya biblia ndiyo kabisa haisomeki kwa sauti, mbele ya yeyote.
"kuna mistari ya biblia ndiyo kabisa haisomeki kwa sauti, mbele ya yeyote." Kwa ujinga huo uliouwandika nidhihiri umejaza kinyesi kichwani wewe kikongwe
 
Back
Top Bottom