financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
[emoji1] [emoji1] [emoji1] jamanii kweli?Kuna Mwenyekiti wa kijiji huko japani
Kijiji kinaitwa tako
Na Mwenyekiti wa aitwa kahara kokoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] jamanii kweli?Kuna Mwenyekiti wa kijiji huko japani
Kijiji kinaitwa tako
Na Mwenyekiti wa aitwa kahara kokoto
[emoji1] [emoji1] [emoji1] acheni masikhara aiseeKuna siku sportpesa walinitumia msg ya mechi kali za siku nikashangaa moja ina jina la uchi wa kike wa moto (punguza volume halafu litaje). Na bado kuna maji yanaitwa mavi japan hukohuko.
Tutoke huko twende jirani Congo, kuna mtaa unaitwa P*MBU AVENUE
....motoNI ushauri tu kwa vijana ambao huwa wanataka sifa mbele ya wakwe zao kuonesha wanajua mambo mengi. Tafadhali sana usijaribu kusoma kwa sauti majina ya Kijapani ukiwa ukweni ama na mkweo!!
Kwani nimesema uongo?
Nahisi chai mkuu ngoja nijaribu ku ggle ntaleta mrejesho[emoji1] [emoji1] [emoji1] jamanii kweli?
Sio kila muislamu ni mdini kama wewe, muda mwingine ficha upumbavu wako ili uiheshimishe dini yako.Siyo majina ya Kijapani tu, hata baadhi ya majina ya Watanzania.
Kama hiyo haitoshi, kuna mistari ya biblia ndiyo kabisa haisomeki kwa sauti, mbele ya yeyote.
We mnaijeria kiswahili unakiweza sana. Hongera.Hiyo yote ni majina ya watu waanzilishi wa hayo makampuni. Mfano halisi ni Honda. Honda ni MTU kabisa ndiye muanzilishi wa kampuni ya Honda.
Ni sawa unavyoona huku kwetu kuna Dangote Cement.
Kuna timu inaitwa kumamoto fcNI ushauri tu kwa vijana ambao huwa wanataka sifa mbele ya wakwe zao kuonesha wanajua mambo mengi. Tafadhali sana usijaribu kusoma kwa sauti majina ya Kijapani ukiwa ukweni ama na mkweo!!
Hahaahh kuna kiteam Japan kinaitwa Roasso Kumamoto
Of course nimemtolea mfano Dangote kwa kuwa ni tajiri namba moja Afrka ili mfano uwe rahisi.We mnaijeria kiswahili unakiweza sana. Hongera.
Sijawahi kubet...huwa natania nikisema nabetVipi leo umebet?
Sijawahi kubet...huwa natania nikisema nabet
Sasa umeijuaje?
Nafatilia sana mpira
Jaribu kugoogleNani kashinda tuzo za fair play jana?
Huyo Dada alikuwa nae hapo LumumbaWewe bibi kuna dada w kikristo alikunyang'anya sheikh mchana kweupeeeeena haukuwa na la kufanya maana ostaadh aliokuwa humwambii kitu.
Hayo ni majina halali ya watu.. Sio vitu.Hayo ni majina ya vitu siyo ya watu. Ni ushauri tu kuna kijana mwenzio yamemkuta makubwa!!
"kuna mistari ya biblia ndiyo kabisa haisomeki kwa sauti, mbele ya yeyote." Kwa ujinga huo uliouwandika nidhihiri umejaza kinyesi kichwani wewe kikongweSiyo majina ya Kijapani tu, hata baadhi ya majina ya Watanzania.
Kama hiyo haitoshi, kuna mistari ya biblia ndiyo kabisa haisomeki kwa sauti, mbele ya yeyote.