Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama achana na mimi, nitakuvisha kichwa cha nguruwe sasa hivi.Ikitajwa biblia ni udini?
Ukiwataja Wajapani siyo ukabila?
Waambie wasome hii kwa sauti mbele ya watu...Hawaamini wape mfano mmojawapo!!
Kamsomee mkweo hii kwa sauti...Mama achana na mimi, nitakuvisha kichwa cha nguruwe sasa hivi.
Kamsomee mkweo hii kwa sauti...
... Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
- 1 Wakorintho Mlango 6
KUMAMOTO HAITOSHI.NI ushauri tu kwa vijana ambao huwa wanataka sifa mbele ya wakwe zao kuonesha wanajua mambo mengi. Tafadhali sana usijaribu kusoma kwa sauti majina ya Kijapani ukiwa ukweni ama na mkweo!!
Wewe bibi kuna dada w kikristo alikunyang'anya sheikh mchana kweupeeeeena haukuwa na la kufanya maana ostaadh aliokuwa humwambii kitu.Siyo majina ya Kijapani tu, hata baadhi ya majina ya Watanzania.
Kama hiyo haitoshi, kuna mistari ya biblia ndiyo kabisa haisomeki kwa sauti, mbele ya yeyote.
Yaani bibi huyo na ukristo ni kama paka na panya.Yaani FaizaFoxy keshamwagia pilau mchanga!!
Umesahau SUZUKI, KUBOTA, KAISHA , ZENKO, ABE, SHINZO, NGELEJA, NAPE NA MAKAMBAkwa nini? mbona majina mazuri tu
mfano HONDA, ISUZU, TOYOTA, YOKOHAMA nk. una tatizo gani na majina ya kijepu
Huu mji si ndo ulikuwa unaandamwa Sana na majanga ya matetemeko ya ardhi?ABOUT KUMAMOTO CITY
![]()
トップページ
It is Kumamoto City Official Tourism Website. We will introduce the charm of Kumamoto City including tourist spots such as Kumamoto Castle and Suizenji Park and also cooking, events and special products.kumamoto-guide.jp
Kuna MCHEZAJI wa ZESCO anaitwa kapumbu,NI beki hatareee!Kuna siku sportpesa walinitumia msg ya mechi kali za siku nikashangaa moja ina jina la uchi wa kike wa moto (punguza volume halafu litaje). Na bado kuna maji yanaitwa mavi japan hukohuko.
Tutoke huko twende jirani Congo, kuna mtaa unaitwa P*MBU AVENUE
NI ushauri tu kwa vijana ambao huwa wanataka sifa mbele ya wakwe zao kuonesha wanajua mambo mengi. Tafadhali sana usijaribu kusoma kwa sauti majina ya Kijapani ukiwa ukweni ama na mkweo!!
Naye alikuwa bomu angefupisha akasema MotoKuna mama alipata scholarship Kumamoto University
ilikuwa kila akiulizwa unaenda soma chuo kipi huko Japan anabaki kugunaguna tu
Hiyo yote ni majina ya watu waanzilishi wa hayo makampuni. Mfano halisi ni Honda. Honda ni MTU kabisa ndiye muanzilishi wa kampuni ya Honda.Hayo ni majina ya vitu siyo ya watu. Ni ushauri tu kuna kijana mwenzio yamemkuta makubwa!!