Ukiwa na Mkweo usisome majina ya Kijapani kwa sauti!!

Ukiwa na Mkweo usisome majina ya Kijapani kwa sauti!!

Wafiraji ni wafiraji hakuna neno zuri la kuwapa.Waarabu wanashadidia sana ufiraji ndio maana hapatulii mashariki ya kati.

Ni adhabu ndogo wanayopewa kutokana na kuendekeza ufiraji
Kamsomee mkweo hii kwa sauti...
  • 1 Wakorintho Mlango 6
... Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
 
kwa nini? mbona majina mazuri tu
mfano HONDA, ISUZU, TOYOTA, YOKOHAMA nk. una tatizo gani na majina ya kijepu
Umesahau SUZUKI, KUBOTA, KAISHA , ZENKO, ABE, SHINZO, NGELEJA, NAPE NA MAKAMBA
 
ABOUT KUMAMOTO CITY
Huu mji si ndo ulikuwa unaandamwa Sana na majanga ya matetemeko ya ardhi?
 
Kuna siku sportpesa walinitumia msg ya mechi kali za siku nikashangaa moja ina jina la uchi wa kike wa moto (punguza volume halafu litaje). Na bado kuna maji yanaitwa mavi japan hukohuko.
Tutoke huko twende jirani Congo, kuna mtaa unaitwa P*MBU AVENUE
Kuna MCHEZAJI wa ZESCO anaitwa kapumbu,NI beki hatareee!
 
NI ushauri tu kwa vijana ambao huwa wanataka sifa mbele ya wakwe zao kuonesha wanajua mambo mengi. Tafadhali sana usijaribu kusoma kwa sauti majina ya Kijapani ukiwa ukweni ama na mkweo!!


What if umetembelewa na wajapan nyumbani kwako na mkweo akiwepo
 
Hayo ni majina ya vitu siyo ya watu. Ni ushauri tu kuna kijana mwenzio yamemkuta makubwa!!
Hiyo yote ni majina ya watu waanzilishi wa hayo makampuni. Mfano halisi ni Honda. Honda ni MTU kabisa ndiye muanzilishi wa kampuni ya Honda.
Ni sawa unavyoona huku kwetu kuna Dangote Cement.
 
Back
Top Bottom