financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Hatari sana[emoji1]Nahisi chai mkuu ngoja nijaribu ku ggle ntaleta mrejesho
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana[emoji1]Nahisi chai mkuu ngoja nijaribu ku ggle ntaleta mrejesho
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hiyo ni kweli na mjumbe wa mtaa alikuwa na Kali zaidi[emoji1] [emoji1] [emoji1] jamanii kweli?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umesahau SUZUKI, KUBOTA, KAISHA , ZENKO, ABE, SHINZO, NGELEJA, NAPE NA MAKAMBA
Hatari SanaJapan National Football Team Players
1) Takahara Harozito
2) Shikatako Takanusa
3) Yoshio Yuwashuta
4) Takamboro Nagawa
5) Nyegezito Kumagawa
6) Tamani Gawauchi
7) Katavuzi Cho
8) Takagawa Kumamoto (C)
9) Katakundu Takafirwa
10) Kokote Nataka
11) Kanatoa Shuzi
Kuna mchezaji anaitwa " Kumamoto"Kuna Mwenyekiti wa kijiji huko japani
Kijiji kinaitwa tako
Na Mwenyekiti wa aitwa kahara kokoto
Hahahhh yale yanayoanza na letters fulani hivi yanamalizikia na ....motoNI ushauri tu kwa vijana ambao huwa wanataka sifa mbele ya wakwe zao kuonesha wanajua mambo mengi. Tafadhali sana usijaribu kusoma kwa sauti majina ya Kijapani ukiwa ukweni ama na mkweo!!
Hahahhh yale yanayoanza na letters fulani hivi yanamalizikia na ....moto
Huu ni ukweli mchungu kwa wafiraji na walawiti. Mtenda dhambi hatakiwi kupewa maneno matamu. Unabaka mtoto wa miaka 9 halafu upewe maneno matamu kama nani? Biblia inasema "Msidanganyike" Hayupo mtu atakaye wapa maneno matamu ya kuwadanganya ili mjione siyo mtenda dhambi.Waambie wasome hii kwa sauti mbele ya watu...
1 Wakorintho 6
...Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,