Ukiwa na Mkweo usisome majina ya Kijapani kwa sauti!!

Japan National Football Team Players
1) Takahara Harozito
2) Shikatako Takanusa
3) Yoshio Yuwashuta
4) Takamboro Nagawa
5) Nyegezito Kumagawa
6) Tamani Gawauchi
7) Katavuzi Cho
8) Takagawa Kumamoto (C)
9) Katakundu Takafirwa
10) Kokote Nataka
11) Kanatoa Shuzi
 
Hatari Sana
 
Nikisikia Japan,kitu cha kwanza kuja akilini ni KUMAMOTO
 
NI ushauri tu kwa vijana ambao huwa wanataka sifa mbele ya wakwe zao kuonesha wanajua mambo mengi. Tafadhali sana usijaribu kusoma kwa sauti majina ya Kijapani ukiwa ukweni ama na mkweo!!
Hahahhh yale yanayoanza na letters fulani hivi yanamalizikia na ....moto
 
Waambie wasome hii kwa sauti mbele ya watu...

1 Wakorintho 6
...Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
Huu ni ukweli mchungu kwa wafiraji na walawiti. Mtenda dhambi hatakiwi kupewa maneno matamu. Unabaka mtoto wa miaka 9 halafu upewe maneno matamu kama nani? Biblia inasema "Msidanganyike" Hayupo mtu atakaye wapa maneno matamu ya kuwadanganya ili mjione siyo mtenda dhambi.

Huu ndiyo ukweli ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤👇👇👇👇👇👇👇👇
1 Wakorintho 6
...Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…