Utachelewa mkuu[emoji28][emoji28][emoji28] beba ebitoke yako moja ukajisevie for lifetime
Hapa umetafuta pisi kijanja muzeeExtrovert Hawa kina ebitoke mkuu tunawaita kuku wa kienyeji hawa wana kiharufu cha kienyeji hadi kwenye papuchi.
Demu naye mtaka ni yule ambae hanikeri asiwe wa kununa nuna na kukuza vitu,
nataka yule naspend naye home ile kuwatch TV yaani ananipa vibe mara kavaa shati langu mara ananiziba macho kiutani utani mara ananikwapua remote, mara anazima taa ghafla, mara anikwapue sahani yaani I really like mwanamke wa hivi aje hata PM....[emoji39]
Daaah inategemea na lifestyle la mwanaume anavo ishi hapa bongo ni mashida yetu yanafanya tuone ni ngumu kuishi kwenye furaha.Ukimpata huyo malaika hapa ulimwenguni basi ni sawa na chemi chemi iliyoibuka kalahari desert
Au unaweza pata wa hivyo akakosa kimojawapo maana vijana wana viwango vyao wanadai
Kazi zinanusa mfuko balaa kama mbwa wa airport. Hakuna appreciation wanapiga kukomoa๐๐๐
Mnyazi akushushie hitaji lako Boss from Street
Yupo mkuu sema mapungufu madogo madogo hawezi kosa kama binadamu. Kila kitu kinaanzia kwenye upstairs ya kwake.Mwanamke unayemtafuta, hayupo duniani.
Jaribu kumcheki Kwenye sayari ya PLUTO
Pisi kali yoyote lazima ipoe kwangu mkuu, mi nawaambiaga watu wapo mademu wanagombea men mmoja, tena pisi kali kinoma ila huyo men unaeza kuta hana cha maana anachomiliki zaidi ya car kama crown athlete au mark XHapa umetafuta pisi kijanja muzee
Teh teh teh teh
uhalisia haupo hivyo. we unataka mapenzi ya kimuvimuvi. bado una utoto.Extrovert Hawa kina ebitoke mkuu tunawaita kuku wa kienyeji hawa wana kiharufu cha kienyeji hadi kwenye papuchi.
Demu naye mtaka ni yule ambae hanikeri asiwe wa kununa nuna na kukuza vitu,
nataka yule naspend naye home ile kuwatch TV yaani ananipa vibe mara kavaa shati langu mara ananiziba macho kiutani utani mara ananikwapua remote, mara anazima taa ghafla, mara anikwapue sahani yaani I really like mwanamke wa hivi aje hata PM....[emoji39]
Explanable ukimaanisha we mens tuna eleweka tunachohitaji kwa mwanamke si ndio, mfano mi nahitaji furaha na uhuru tu.kulingana na hii post ndo nmeanza kuelewa Biblia kitabu Cha wakorinto pale iliposema "HAKUNA ANAEJUA ATAKACHO MWANAUME KWA MWANAMKE " kwakwel nyinyi wanaume Ni explainable [emoji1751][emoji1751][emoji1751] oh omg
Mkuu utoto eeeh when it comes to joys moment hakuna kujilimit na kusema kuna utoto somewhere, don't be source of your own stresses mkuu. We only live once.uhalisia haupo hivyo. we unataka mapenzi ya kimuvimuvi. bado una utoto.
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
i mean ur wishes are childish. kwa mtu mwenye experience na mahusiano hawezi kutamani mapenzi ya kutekenyana sijui kupigana na mito sijui kubusubusu.. mwanaume mwenye experience anataka mwanamke atakaemskiliza na asieshindana nae. hivo vingine ni extra tu na havilazimishwi wala kuigizwa vinatokea tuMkuu utoto eeeh when it comes to joys moment hakuna kujilimit na kusema kuna utoto somewhere, don't be source of your own stresses mkuu. We only live once.
Mkuu jaribu kuplay part yako ipasavyo mwanamke anahitaji uhuru hii kitu wala mimi naweza nisifaidi kama huyo mwanamke anavyo faidi wanawake wanao pewa nice treatment huwa wanafaidi mnoo kuliko wanao wapa. Mimi namtengenezea uhuru.i mean ur wishes are childish. kwa mtu mwenye experience na mahusiano hawezi kutamani mapenzi ya kutekenyana sijui kupigana na mito sijui kubusubusu.. mwanaume mwenye experience anataka mwanamke atakaemskiliza na asieshindana nae. hivo vingine ni extra tu na havilazimishwi wala kuigizwa vinatokea tu
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
nice treatment zipo na kusikilizwa kupo. find a woman that can do both, respect you as a man and have fun with you.Mkuu jaribu kuplay part yako ipasavyo mwanamke anahitaji uhuru hii kitu wala mimi naweza nisifaidi kama huyo mwanamke anavyo faidi wanawake wanao pewa nice treatment huwa wanafaidi mnoo kuliko wanao wapa. Mimi namtengenezea uhuru.
Your main point unataka mwanamke akusikilize yaani uwe ni mtu wa kutoa orders and commands as if mko vitani mzee [emoji28][emoji28] any way vipi akawa mnafiki anaplay fair home kukusikiliza na hashindani na wewe ila hana uhuru na wewe kila akikuona.
Amna kitu wanawake wengi wanakipenda kama uhuru yaani icho wanapenda tafuta namna ya kumfanya mtu wako awe huru kwako utafurahi sana.
Mwanamke niliye naye na mkeep hivo sema sio kiivo kutokana na ubize.nice treatment zipo na kusikilizwa kupo. find a woman that can do both, respect you as a man and have fun with you.
ushawah kupata mwanamke wa kuchezacheza nae?
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
ubize unazuia nini?Mwanamke niliye naye na mkeep hivo sema sio kiivo kutokana na ubize.