Ukiwa na mtaji mdogo ufanyeje ili upate faida?

Hiyo biashara ni ngumu ina mzunguko mrefu je una uhakika aliyekupa ishu ni mmiliki mwenyewe? Maana kuna zile 2 za mwezi uliopita watu wamepigwa sana
Mtu alieachiwa kuuza nimetoka kula nae dona mda sio mrefu
 
Shukrani bro soon ntakupa feedback, na je hizo tairi unanunua kwa kilo au kwa mfumo upi? na kuna vigezo vyovyote kwenye ubora wa tairi? au ilimradi tu ziwe tairi used
Hata likiwa limechanika kabisa bora liwe linaitwa tu tairi.. Bei ni kwa kilo
 
Nb: Tujifunze kujaribu vitu na tusichague kazi[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Kaka oil chafu na matairi mabovu bei gani unanunua nipe bei kama hutojali.. nipo mwanza
 
Kaka oil chafu na matairi mabovu bei gani unanunua nipe bei kama hutojali.. nipo mwanza
400 kwa lita nahitaji kama lita laki 2 au tatu unayo?
Tairi kubwa tani 80,000 lakini inaweza kupanda ama kushuka, tairi ndogo 120,000 nayo inaweza kupanda na kushuka
Kamba na vumbi 100,000
 
Ni biashara imewatajirisha watu waliowahi kuanza kuifanya nchini Tanzania.
 
Mkuu kwanini walioajiriwa huwa wanakuwa kama reference ili kuwapa hamasa ambao wanatakiwa kujiajiri....

Hakuna motivation nyingine ya kuwapa tofauti na kuwalinganisha na walioajiriwa?
Hakuna mkuu .. Waajiriwa wengi almost asilimia 90 hasa wa serikali ni watumwa wa mishahara.. Hawawazi zaidi ya hapo.. Na anajua hata akitega namna gsni mwisho wa mwezi anadaka kama kawa
 
Chukua tank 10 kwa one M kauze kwa 1.3 fasta
 

Attachments

  • IMG-20220328-WA0202.jpg
    82.2 KB · Views: 65
  • IMG-20220328-WA0204.jpg
    81.7 KB · Views: 60
  • IMG-20220328-WA0206.jpg
    81.1 KB · Views: 66
  • IMG-20220328-WA0203.jpg
    105.2 KB · Views: 63
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…