Ukiwa na mtaji mdogo ufanyeje ili upate faida?

Shukrani kwa elimu nzuri, nyingine ni ile ya mifuko ya kg25 iwe ya unga,ngano au sukari kwa dar unanunua 100 - kisha unauza mkoani 250
Ata ya 50kg ni fursa nzur. Changamoto ni upatikanaj kwa wingi.

Mwenye connection ya mifuko inayotolewa sukar kwenye viwanda vya juice au soda pliz.
Aje dm tuyajenge
 
400 kwa lita nahitaji kama lita laki 2 au tatu unayo?
Tairi kubwa tani 80,000 lakini inaweza kupanda ama kushuka, tairi ndogo 120,000 nayo inaweza kupanda na kushuka
Kamba na vumbi 100,000
Matair size 8.25 yalichunika sh ngapi unanunua kaka ninayo 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…