Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Dumu tupu za mafuta ya kupikia lita25 unanua 1000 -unauza 2500 hadi3000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wateja wapo mikoani, Kuna wanunuzi wa jumla, Hawa wapo kwenye masoko, (connection ninayo)wananunua 250, au migodi midogomidogoHebu ifafanue hii hasa wateja walipo[emoji1545]
Nilipeleka kahamaWapi huko?
Pamoja mkuu👍Nitakucheki[emoji1545]
Kigamboni.. ipo lita 1000Iko wapi? Iko kiasi gani?
Ata ya 50kg ni fursa nzur. Changamoto ni upatikanaj kwa wingi.Shukrani kwa elimu nzuri, nyingine ni ile ya mifuko ya kg25 iwe ya unga,ngano au sukari kwa dar unanunua 100 - kisha unauza mkoani 250
lita moja 600Sehemu gani hapo? Na bei je?
Oili chafu ninayo nimeifadhi ndani Lita 1500Nileteee..una kiasi gani?
Matair size 8.25 yalichunika sh ngapi unanunua kaka ninayo 30400 kwa lita nahitaji kama lita laki 2 au tatu unayo?
Tairi kubwa tani 80,000 lakini inaweza kupanda ama kushuka, tairi ndogo 120,000 nayo inaweza kupanda na kushuka
Kamba na vumbi 100,000
Ambayo ndyo sh ngapBei ni kwa tani
Yani ujazo ndyo Lita 1500 kaka ndyo maana yanguHiyo bei huwezi kuuza popote kwakuwa hata I.D.O na BASE OIL bei zake hazifiki huko
Haina shida MkuuNaomba kesho tuonane
Kikubwa mawasilianoHaina shida Mkuu