Tunayoona haya.Kati ya hao wanawake walio kwenye kipindi kigumu, utampenda mmoja, ukimpenda utamsaidia kipesa, ila wengi wao ukiwabadilisha maisha yao kiuchumi, kitu ambacho watakuja kukulipa, Mungu mwenyewe anajua, yani wanalipa ubaya kwa wema uliowafanyia Showmax
Wao ufuata ndoa kwa maana ya mtu wa kuwabebea majukumu ya wazazi wao na sio kujua nini maana ya ndoa.Thus kupitia ndoa wakishapata wakitakacho usahau, dharau kibao