Ukiwa na ngozi laini/ nyororo, watu wengi hukuchukulia kama mzembe mzembe

Ukiwa na ngozi laini/ nyororo, watu wengi hukuchukulia kama mzembe mzembe

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Watu wengi wakikuona wanakuchukulia kama uko mzembemzembe wakiona ngozi yako laini na haina kash kash au mikwaruzo n.k, kumbe hawajui mtu unaweza ukawa na ngozi laini lakni ukawa mtu mgumu kweli kweli. mi kazi ngumu nafanya sana na wala sifanyi skin care mara nyingi, ni vile tu ngozi yangu yangu ni ya asili kua hivyo.

kwa hiyo jamii iache kufikiri ukimuona mtu ana ngozi nyororo bas unajua kua ni mzembe mzembe, mtakuja kupugwa ngumi nyingi sana.

1772831338967.png
 
Mi naombeni mnipe 5k nitasema hi ID ni ya nani..

Ni broo kabisa hapa jf ana miaka ya kutosha.
Sijui kwanini anakua hivi na ana id mbili kuna moja ipo kule kwenye uzi wa vita vya iran na israel..

Uwezi amini kule yupo seriously sana
 
Back
Top Bottom