Muite mara tatu au nikusaidie 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwanini upewe 5k sasa?Mi naombeni mnipe 5k nitasema hi ID ni ya nani..
Ni broo kabisa hapa jf ana miaka ya kutosha.
Sijui kwanini anakua hivi na ana id mbili kuna moja ipo kule kwenye uzi wa vita vya iran na israel..
Uwezi amini kule yupo seriously sana
Atakuwa juu ya meza, atafika sio muda kutoa full sapoti..Muite mara tatu au nikusaidie 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nakua nafichua privacy ya mtuKwanini upewe 5k sasa?
Kwa buku 5🫢Nakua nafichua privacy ya mtu