Ukiwa na NMB Yanga World Debit Mastercard na safari yako ya ndege ikaahirishwa NMB watakulipa TZS 19M, Why this today?

Acha na hayo mambo ya msimu ni swala la muda tu Mgao utakuwa historia hapa Tanzania
Haukupaswa hata kuanza in the first place.... Matokeo yake Makamba amekula mapesa na miradi isiyo na mwisho eti anasuka Tanesco Upya lakini nothing to show for it...

Zinapigwa talalila na brah brah siku zinakwenda mwananchi anaambulia porojo
 
3. Kwa wasiofahamu, Kadi hii ya NMB Yanga World Debit Mastercard huunganishwa na akaunti na huduma zote za kifedha za Benki ya NMB.

4. Mwanachama atakayejiunga atapata Jezi 6 Kila Msimu, VIP Ticket 10 za Msimu wa NBC VPL
Wakereketwa wa Mnyama je, mbona mnawaacha gizani kwenye baridi? Je, watakubali kutunukiwa jezi za YANGA na tiketi za mechi za YANGA?;
 
Namalizia makala yangu na gazeti Moja la kimataifa juu ya Vigogo kadhaa pale NMB hasa wale wa HR wanavyoendesha mambo yao kindezi
Kabla ya kuandika onana na Mkurugenzi ni mtu muungana atakusiliza naamini mtamaliza vizuri ni kweli pale HR Kuna watu kama wawili hivi ni mamluki
 
Ufalaufala huu ndio mnafanya tunaitwa manyani makuu na wenzetu. Samia akisema muanze kufir** nyie machawa lazima mtaafiki.
 
Viva Samia Viva, Viva Ruth Viva
 
Namalizia makala yangu na gazeti Moja la kimataifa juu ya Vigogo kadhaa pale NMB hasa wale wa HR wanavyoendesha mambo yao kindezi
Wacha tuone ila Benki ni muhimu wakaepuka migogoro kwani inafaida hasi kwao hasa kwa wenye pesa zao huko kupunguza imani nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…