Ukiwa na NMB Yanga World Debit Mastercard na safari yako ya ndege ikaahirishwa NMB watakulipa TZS 19M, Why this today?

Ukiwa na NMB Yanga World Debit Mastercard na safari yako ya ndege ikaahirishwa NMB watakulipa TZS 19M, Why this today?

Unaongelea Rais Taasisi alafu unaongelea kitu kilichofanyika ambacho ni cha Taasisi moja / Mbili na sio Taifa ( NMB na Yanga)

Hapo nikikwambia Rais anatumika kupiga Promo kama tu alivyo dalali / salesperson mwingine utaniambia nini ?

Tuachane na hizi brah brah brah kama Taifa waje na Sera za kuleta ajira zenye ujira hali mbaya kitaa....
Kwani hujui kwamba Serikali ina share zake 31.78 % pale NMB?
 
Kwani hujui kwamba Serikali ina share zake 31.78 % pale NMB?
Pia tuna 21 CRDB na NBC pia tuna Shares....; lakini so What ?!!!

Hizi ni Biashara na hii ni Promotion NMB anauza Product yake; kwahio kutumia jina la Samia hata kama anahusika au hausiki inawapa mileage...; Unaweza kuuliza tatizo ni nini ? Rais ni Taasisi hivyo mara nyingi maneno yake yakitumika inaweza kuwapa watu uhakika kwamba kinachosemwa kina stamp / quality approval ya President...

Sasa kama kila kitu / kila product itakuwa na stamp approval ya President mwisho wa siku that approval will be worth nothing....
 
Habari Wana Jukwaa.

Tunaposema Mama Samia aongezewe miaka mingine mitano ni mambo kama haya tunayatazama,

Haya mambo hayakuwahi kufanyika tangu uhuru wa Taifa hili but why now?

Sasa twende na Mimi kwenye hoja:

1. Benki ya NMB tanzania na Klabu ya Yanga SC wamezindua Kadi Maalum za Wanachama wa Yanga,

2. Huu ukiwa ni ni muendelezo wa ushirikiano kati ya taasisi hizi mbili kubwa nchini za kibiashara.

3. Kwa wasiofahamu, Kadi hii ya NMB Yanga World Debit Mastercard huunganishwa na akaunti na huduma zote za kifedha za Benki ya NMB.

4. Mwanachama atakayejiunga atapata Jezi 6 Kila Msimu, VIP Ticket 10 za Msimu wa NBC VPL

5. Kadi hii pia Kutumika in kwa VIP Lounge katika viwanja vya ndege vya kimataifa bure.

6. Kadi hii pia inakupa Bima za safari ukilipia tiketi ya ndege kutumia kadi hii ikiwemo kulipwa hadi Dola za Kimarekani 3,000 begi likipotea, hadi Dola 300 ndege ikichelewa na kupata mpaka Dola 7,500 kama safari yako ya ndege ikihahirishwa.

7. Hata unapougua NMB itakupa punguzo la kuanzia 10% na kuendelea ukitibiwa katika hospitali zote za Aga Khan nchini.

8. Utapata pia Punguzo la hadi 10% ukifanya malipo kwa Kadi/QR katika maduka, migahawa, vituo vya mafuta na maeneo mengine.

9. Lakini pia, Mwanachama kupata Toleo la kwanza la jezi na vifaa vyote vinavyotambulishwa na Yanga

10. Nzuri zaidi mwanayanga kupata huduma zote za kifedha zinazotolewa na Benki ya NMB ikiwemo mikopo nafuu, huduma ya NMB Mkononi na nyingine nyingi.

11. Mwanachama wa Yanga ataipata kadi hii kwa ada ya Milioni Moja kwa mwaka na kufurahia huduma zote hizi kwa mwaka na Kadi hii inapatikana katika matawi yote ya Benki ya NMB nchi nzima kuanzia leo.

12. Hata mwanachama wa Ihefu ya Yanga anaweza pia kununua kadi hii au hata mwanachama wa Club yeyote ile.
View attachment 2904977
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng Hersi Said
View attachment 2904978
Filbert Mponzi, Mkurugenzi wa Biashara na Wateja Binafsi
NMB ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom