Ukiwa na NMB Yanga World Debit Mastercard na safari yako ya ndege ikaahirishwa NMB watakulipa TZS 19M, Why this today?

Sasa kwanini apongezwe Samia wakati hii kazi ni ya NMB na Yanga? Samia amehusika vipi? Huu ni wehu sasa!
 
Umesahau kuweka mawasiliano yako, kwani kwa huu mfumo wako wa kichawa utazivutia pande zote tatu za Taasisi tajwa.
 
Yanga nguvu Moja Simba unyama mwingi
 
Namalizia makala yangu na gazeti Moja la kimataifa juu ya Vigogo kadhaa pale NMB hasa wale wa HR wanavyoendesha mambo yao kindezi
Wewe ni muongo hata hivyo miongoni mwaidara zinafanya vizuri pale NMB ni hii ya HR chini ya jamaa anaitwa Akoonay so usipotoshe watu kwa urongo wako.
 
Pesa za majini zinakaa kwa bank??
 
Wewe ni muongo hata hivyo miongoni mwaidara zinafanya vizuri pale NMB ni hii ya HR chini ya jamaa anaitwa Akoonay so usipotoshe watu kwa urongo wako.
Hapana sio Akoonay huyu jamaa ni msikivu sana na anabusara nyingi tatizo hao wachini,


#SAMIAMITANO TENA
 
Mimi kinachonifurahisha, kila jema sifa apewe yeye ila baya mnatetea.
Mfano tukisema mgao wa umeme ni hatari yani umeme now imekuwa shida na akalaumiwa rais, basi utasikia mnataka kumtenga nalo. Sasa sielewi mnasahau kila chenye kuzaa huwa pia kinakufa.
 
Pamoja na yote mazuri yake ni mengi kuliko mabaya yake
 
Chadema wanaandamana Mzee Lowassa Yuko kwenye jeneza kweli hawa ni binadamu?
2025 sitaichagua CHADEMA Bora nipige tu kwa maza
IKiwa yupo kwenye Jeneza unapinga wasiandamane, Je akizikwa si ndiyo utataka CHADEMA kama Chama Kiditishe shughuli zake zote hadi siku ya ufufuo?
 
Ila kibinadamu hiyo siyo sawa kabisa
Nusu Mlingoti na salaam za rambirambi ndiyo namna ya maombolezo, siyo kusimamisha shughuli.
Bungeni kwenyewe ambako aliwahi kuwa Mbunge na Kiongozi wa shughuli za serikali bungeni wamaendelea ma shughuli zao kama kawaida, why CHADEMA wasimamishe shughuli zao ukichukulia siyo Mwanachama wa CHADEMA?
 
Ila Lowassa anawahusu sana CHADEMA hata hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…