Ukiwa na NMB Yanga World Debit Mastercard na safari yako ya ndege ikaahirishwa NMB watakulipa TZS 19M, Why this today?

Kwani hujui kwamba Serikali ina share zake 31.78 % pale NMB?
 
Kwani hujui kwamba Serikali ina share zake 31.78 % pale NMB?
Pia tuna 21 CRDB na NBC pia tuna Shares....; lakini so What ?!!!

Hizi ni Biashara na hii ni Promotion NMB anauza Product yake; kwahio kutumia jina la Samia hata kama anahusika au hausiki inawapa mileage...; Unaweza kuuliza tatizo ni nini ? Rais ni Taasisi hivyo mara nyingi maneno yake yakitumika inaweza kuwapa watu uhakika kwamba kinachosemwa kina stamp / quality approval ya President...

Sasa kama kila kitu / kila product itakuwa na stamp approval ya President mwisho wa siku that approval will be worth nothing....
 
NMB ni kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…