achana nae..hawa wamekariri maisha...!!yani mie na degree yangu nliyosotea kwa tabu nikae nakimbizana na bodaboda na daladala...wakat kuna vitz za milioni 4?aka mie!!!nyumba nitajenga tu kwani nalala nje?anipishe huko......kazi nafanya na biashara nafanya..ana jingine?
nashangaa huyu anataka kutisha watu. hebu waangalie na kodi wanazolipa wenye nyumba sahv ndio waone kama kujenga nyumba mapema inalipa au lah.
Get the facts right Chimbuvu, Kitu cha kwanza Warren Buffet hakujenga nyumba yake ni alinunua. Kitu cha pili Warren alinunua hii nyumba miaka miwili baada ya kuanza biashara zake. Alifanya kazi kutoka mwaka 1951 mpaka 1956 na mwaka huo wa 1956 alianza biashara zake kwa kuanzisha kampuni iliyoitwa "Buffett Partnership Ltd", mwaka 1958 alinunua nyumba yake ya kwanza ambayo ndo anaishi mpaka leo. You are trying to belittle the point mkuu Nkobe is trying to make here with inaccurate facts and that is not intellectual. Respect kwa muanzisha Thread, umemimina bonge ya madini.For your information! The richest investor in the world Warren Buffet alianza kujenga nyumba yake before hajaanza biashara alikuwa ameajiliwa wakati huo.
Nawashauri vijana in their 20's to build their career rather than entering into debts.
Get the facts right Chimbuvu, Kitu cha kwanza Warren Buffet hakujenga nyumba yake ni alinunua. Kitu cha pili Warren alinunua hii nyumba miaka miwili baada ya kuanza biashara zake. Alifanya kazi kutoka mwaka 1951 mpaka 1956 na mwaka huo wa 1956 alianza biashara zake kwa kuanzisha kampuni iliyoitwa "Buffett Partnership Ltd", mwaka 1958 alinunua nyumba yake ya kwanza ambayo ndo anaishi mpaka leo. You are trying to belittle the point mkuu Nkobe is trying to make here with inaccurate facts and that is not intellectual. Respect kwa muanzisha Thread, umemimina bonge ya madini.For your information! The richest investor in the world Warren Buffet alianza kujenga nyumba yake before hajaanza biashara alikuwa ameajiliwa wakati huo.
Nawashauri vijana in their 20's to build their career rather than entering into debts.
Mimi nawashauri vijana, anza kwa ku invest ili upate muda mrefu wa kuanguka, kuanguka itakuwa fundisho kwako, ukija kufika wa kuwa na watoto wawili tayari asset yako inakuzalishia milioni 40 kwa mwaka na hautatishwa na kodi ya 150,000, na utajenga kilaini kabisa
Wadau, hasa vijana wenzangu,
Ushauri kwa vijana wenzangu. Ukiona wewe kwanza ndiyo umepata kazi, ukaanza kwa kununua gari la kutembelea, baada ya hapo ukanunua kiwanja na ukaanza kujenga ujue wewe utaishia kuwa middle class na kuteseka ki uchumi katika maisha yako yote. Ninaposema kuteseka ki uchumi namaanisha kila ikihitajika laki moja wewe kuitoa mpaka ukope au ukitoa unaishiwa. Vijana wengi wanapenda kuishi maisha ya luxury wakati hawana sifa ya kuwa na luxury, unakuta ndani kwake kajaza vifaa expensive wakati hana rasilimali ya kumpa kipato, wengi wanafanya hivyo ili waonekane wako na maisha safi kwa jamii, kumbe wanajichimbia kaburi
Asilimia kubwa ya middle class walieanza kwa ku invest kwenye mambo yasiyozalisha, mfano nyumba ya kuishi mwenyewe au gari, ukianza, ukianza kwa kujenga nyumba ya kuishi wewe ndio mbaya kabisa. Watu tunaowaita matajiri, walianza kwa ku invest kwenye kitu kinachozalisha pesa then gari la kutembelea, nyumba vikaja baadae. Huo ni ushauri wangu kwa vijana wenzangu
BAADA YA KUONA SIELEWEKI, NIMEONA NIWAPE MFANO HUU.
Hapa Tanzania, Wahindi wamekuwa waoga kujenga Tanzania kwa hofu kuwa labda hapa si kwao. Wahindi wanaishi National Housing kwa kupanga, ni mabillionaire, wameshika uchumi wa nchi hii, hawatishwi na kodi za nyumba, mfano kwa Arusha wanalipa kodi hadi 1.5m kwa mwezi kwa nyumba ambazo si national housing huko Arusha.
Sasa vipi wewe Mtanzania ungeanza na biashara then Nyumba?
Upo right kabisa mkuu,
Tatizo kubwa linalotukumba sie vijana ni kuwa tunakosa elimu ya kujua fedha "Financial Literacy" pamoja na kuwa tuna elimu za professional zetu. Hii kitu inatufanya watu tushindwe kutofautisha kati ya Assets na Liabilities, na hapo ndipo wengi wetu huishia kuwa masikini or middle class.
Kosa kubwa sana ambalo hadi leo nalijutia ni kuwa nilipomaliza masomo karibia miaka miwili iliyopita nilinunua gari kitu ambacho kilinifanya niwe napiga hatua kurudi nyuma kila siku maana ilikuwa kila ifikapo tarehe ishirini salary yote imeisha kwa matumizi mengi yakihusu gari.
Kwa sasa nimeamua kuuza gari na kuanza na moja. hivi vitu vitafuata baadaye baada ya kuwa stable kiuchumi.
Nawasilisha.
Unajuta kununua gari si ungeliuza??jamani magari yenyewe haya used $3500 yatakufanya kuwa masikini ??wengine wanasema nchi nyingine hujengi nyumba kwa pesa yako ni kweli sehemu kama Mumbai kupata kiwanja tu cha saizi ya kati cost yake unawezajenga flat Kariakoo,nchi nyingine ujenzi ni gharama kubwa sana lakini si Tz,bado kuna sehemu ukiwa na 2ml unapata plot nzuri tu tena Dar!!!hoja zenu hazina nguvu labda mseme mtu mwenye 5ml hasinunue Vitz ila awekeze kwenye biashara fulani,mbona hizo biz hamzitaji???
Usiwe mvivu wa kusoma
We sidhani kama unaelewa chochote kuhusu uchumi. Hivi unajua Bill Gates alianza na mtaji wa Dollar ngapi? Or unapost tu ili mradi na wewe uonekane umepost. "Let's say hiyo $3500", dada angu huo ni mtaji wa watu hata zaidi ya 30 ukiugawa na watu wanatoka. Just imagine hiyo $3500 jumlisha na gharama nyingine kuanzia shipping, tra hadi gari kutoka plus gharama nyingine za mafuta na matengenezo kwa mwaka na nusu kama tu ningesave na kufanyia kitu kingine where would I be??
Motor vehicle is among liabilities which takes money from your pocket and that's too bad for those who are starting to build their economy stability.
Wewe mchumi bado hujajibu swali ni biashara ipi ningefanya kwa hiyo 4ml leta mchanganuo,nisingenunua gari ningetumia Taxi,daladala nk bado pesa ingetoka.kununua gari na kujenga nyumba si kizingiti cha kufanya husiwekeze ktk mambo mengine.Poor dady Rich dady nimeisoma lakini mengine ni ya huko Magharibi si Afrika
Expenses hazikwepeki kwa wanadamu wote, ila tunatofautiana kiwango cha matumizi hayo. Nafikiri rudia tena kusoma post ya mtoa maada alichoelezea ndicho ninachoelezea hapa.
Tanzania ni kati ya nchi ambazo unanunua mzigo wa biashara nje ya nchi bila kujua ushuru utakuwa kiasi gani,hatuna utaratibu mzuri wa ushuru hivyo risk ya kufirisika ni mda wowote ule,uwekezaji pia ni mgumu sana kama ni mgeni,John akienda China na kununua kontena la vifaa vya umeme anafanya biashara mimi nikiingiza bidhaa ileile Tbs watasema ni fake na kuiteketeza unawezachanganyikiwa!!!hakuna mazingira mazuri ya uwekezaji kwa wazawa njia salama ni kujenga nyumba yako,nunua usafiri wako na ziada wekeza...Nchi nyingine kama nilivyosema nyumba si issue ya muhimu sana lakini Afrika Nyumba kwanza.
mkuu saba7 unasema 4m huwezi fanya chochote?????........ur not serious mkuu!! mi nilianza biashara ya m pesa na 1.5 mil now nina capital ya 12m hzo m4 waweza nunua pikipiki boxer 2 na zikawa zinakuletea hesab laki moja kwa wiki......mkuu usiifunge sana akili yko kwa ubishi heb funguka kidogo