Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

Kwa tafsiri sahihi ya asset, nyumba sio asset,ni liability. asset ni kitu kinachokuingizia pesa, sasa kama nyumba unakaa tu mwenyewe inaingizaje pesa? sana sana inakutoa pesa kwa kurepair nk. gari pia si asset cuz linakutoa pesa kila siku za mafuta na repairs. asset takes money to your pocket,liability takes money out of your pocket.

rich dady ,poor dady at work
 
Hakuna ubaya lakin kuna mambo mengi ya maendeleo utashindwa kufanya.

Pia middle class ni kundi mojawapo la watu wanaolalamika sana kila siku kuomba huruma ya serikali

hawa middle class ndio wanasubiri chadema ije kuwatoa kimaisha
 
Wadau, hasa vijana wenzangu,

Ushauri kwa vijana wenzangu. Ukiona wewe kwanza ndiyo umepata kazi, ukaanza kwa kununua gari la kutembelea, baada ya hapo ukanunua kiwanja na ukaanza kujenga ujue wewe utaishia kuwa middle class na kuteseka ki uchumi katika maisha yako yote. Ninaposema kuteseka ki uchumi namaanisha kila ikihitajika laki moja wewe kuitoa mpaka ukope au ukitoa unaishiwa. Vijana wengi wanapenda kuishi maisha ya luxury wakati hawana sifa ya kuwa na luxury, unakuta ndani kwake kajaza vifaa expensive wakati hana rasilimali ya kumpa kipato, wengi wanafanya hivyo ili waonekane wako na maisha safi kwa jamii, kumbe wanajichimbia kaburi

Asilimia kubwa ya middle class walieanza kwa ku invest kwenye mambo yasiyozalisha, mfano nyumba ya kuishi mwenyewe au gari, ukianza, ukianza kwa kujenga nyumba ya kuishi wewe ndio mbaya kabisa. Watu tunaowaita matajiri, walianza kwa ku invest kwenye kitu kinachozalisha pesa then gari la kutembelea, nyumba vikaja baadae. Huo ni ushauri wangu kwa vijana wenzangu

BAADA YA KUONA SIELEWEKI, NIMEONA NIWAPE MFANO HUU.

Hapa Tanzania, Wahindi wamekuwa waoga kujenga Tanzania kwa hofu kuwa labda hapa si kwao. Wahindi wanaishi National Housing kwa kupanga, ni mabillionaire, wameshika uchumi wa nchi hii, hawatishwi na kodi za nyumba, mfano kwa Arusha wanalipa kodi hadi 1.5m kwa mwezi kwa nyumba ambazo si national housing huko Arusha.
Sasa vipi wewe Mtanzania ungeanza na biashara then Nyumba?

Nkobe NIMEPENDA TATHIMIN yako na nina uhakika unamawazo mazuri ya kibiashara najua tu KAMA UKO DAR NINGEPENDA KUKUONA
 
Heri yako wewe unaepewa airtime ya laki 7,kitu muhimu ni kujiuliza ni watanzania wangapi vijana wanaolipwa hivyo?????
 
Hayo ulosema hapo ni sahihi mdau Nkobe
Mfano hai ni mimi mwenyewe. Nivoanza kibarua nlikua napenda makuu sana. vitu vya kifaharii, makolokolo kujaza ndani, Kutaka kuishi maisha ya kitamthilia, Hata nilivofanyiwa Increment lakini mshahara wangu hautoshi tena, Budget ya mafuta ndio yaumiza kichwa asee. Mpaka leo hii sijafanya jambo lolote la kimaendeleo. maisha yananikaba ile mbaya. Mbaya zaidi ukishakua mtumwa wa hali hii huezi jirudisha nyuma asee, sasa nahisi kama kupanic nikiona wenzangu tunaolingana salale wamepiga hatua.na umri nao ndio huoo wayoyoma.
 
Last edited by a moderator:
We bwana wee kila mtu na mipango yake bwana nitanunua ndinga na kujenga huku nakomaa na mishe nyingine ya nini kuishi kwa mashaka na mwenye nyumba? yani ukiona missed call ya fsther house kiroho kinaduuundaa.....mtoa mada umesahau kuwa security ya renters bongo hakuna? mwenye nyumba akiamka tu asubuhi anaweza kukupandishia kodi ghafla sasa hapo si ni bora uangushe mjengo tu hata kama ni chumba kimoja poa tu...
 
Mkuu wala usipanic, hapo badili formula faster, ingawa kwenye kuwekeza pia kuna kuanguka, kwenye kuanguka hapo ukiweza kupavumilia ndiyo mafanikio yako
 
We bwana wee kila mtu na mipango yake bwana nitanunua ndinga na kujenga huku nakomaa na mishe nyingine ya nini kuishi kwa mashaka na mwenye nyumba? yani ukiona missed call ya fsther house kiroho kinaduuundaa.....mtoa mada umesahau kuwa security ya renters bongo hakuna? mwenye nyumba akiamka tu asubuhi anaweza kukupandishia kodi ghafla sasa hapo si ni bora uangushe mjengo tu hata kama ni chumba kimoja poa tu...

Hiyo ndinga ndiyo itakupora hela zako bila kujua, piga hesabu kwa mwezi itatumia mafuta kiasi gani, service, road license, bima
 
...................
Inategemea bro, cjajua kama mi ndo mshamba au lah, kutoka hom kwenda job kwangu ni mita 100, nikapata vihela vyangu nikaona ninunue kigari alaf hela ilobaki nikaweka kwenye miradi, hvyo naona kama haka kausafiri kangu kananisaidia kuwah kuchek hvyo vimiradi na mambo mengne....kuhusu nyumba nakuunga mkono coz nyumba inakula hela na itakuwepo tu, so my plan ni kuokoteza vihela ninunue kiwanja kiwepo then nijiwekeze kwenye vimiradi wen god wishes nikapata faida ya kutosha in the future nitaigawanya hiyo faida kuanza ujenzi mdogo mdogo, so nahisi ni malengo tu.
 
Aah! Sasa kama ndio hivyo wazazi wako nao wangeamua kuto kuwaza kujenga nyumba haraka na kununua gari we mtoto sio ungekuwa mtoto wa mtaan tu au msichana siungeanza kushobokea wanaume kisa magar. Bora uvizoee toka mdogo ukubwani usishangae na kuwa na tamaa.
Born stunna, stuntin' like my daddy
 
wote tukifanya biashara nani atanunua ya mwingine? hata mungu hayuko fair ndo maana wewe na mimi ni weusi wenzetu weupe, kuna masikini na matajiri na usizani kwamba masikini hawataki kuwa matajiri, kuna warefu na wafupi, kuna vilema na wazima. maisha ni akili ya mtu haina fomula kwamba uanze na nini ila ninachokuunga mkono ni kwamba tuwekeze kwenye vitu vinavyozalisha.
 
Kuna watu wanaushamba flani juu ya vitu flani ujumbe alioutoa jamaa ni muhimu sana kwetu sie vijana haijalishi wewe haulipwi laki 7 au unalipwa milioni ngapi sijui..point of correction nyumba sio asset ila ni potentially asset nyumba kama unaishi mwenyewe sio asset maana haikuingizii kipato an asset is anything that generates income into your whatever kama ni wallet au pocket etc... Sasa twende nje ya box kwa mfano wa jamaa mfano umeanza kazi kwa mshahara wowote ule ukafanya manouver ukaanzisha i.e goli la kuingiza i.e 100,000 kwa siku Mungu jalia unapiga x 7 sababu sio kila siku ijumaa may be unaingiza 500,000 kwa wiki x 4 ni 2m per month na mshahara wako uko pale pale tufanye ukaa mua uinvest zaidi u double the amount ikawa 4m per month hivi kujenga nyumba au kununua gari si itakua rahisi sana? Nani hataki raha hiyo? Personally nachukia sana kukaa sehemu kama mbezi beach sijui boko naona mbali kinooma kuna mtaa mmoja aisee unaitwa ally khan road upo upanga wanakaa wahindi sijui waarabu aisee mtaa huo nilipitaga siku moja yani ni full range rovers, audi, bmw's zinakatisha tu h jamaa hawajengi mbezi beach wala nini na wameshikilia uchumi balaa sie waswahili kazi zetu tumegeuka kama wazaramu kuukimbia mji kukaa pembezoni mwa miji viva la familia love my hood...Over
 
Dah kaka kama unabeef hv na wanaokaa "mbezi" af kama umezunguka sanaa..jaribu soma idea za watu na uwe openminded.....waarabu wanaendesha hayo magari kwa kuhujumu uchumi na madiki hatar na pembe za ndovu.,we unadhan kwann hawataki kuwa na tangible assets hapa tanzania...wanaogopa kufilisiwa...muulize kagame anavyowafanya wanaohujumu
 
Wadau, hasa vijana wenzangu,

Ushauri kwa vijana wenzangu. Ukiona wewe kwanza ndiyo umepata kazi, ukaanza kwa kununua gari la kutembelea, baada ya hapo ukanunua kiwanja na ukaanza kujenga ujue wewe utaishia kuwa middle class na kuteseka ki uchumi katika maisha yako yote. Ninaposema kuteseka ki uchumi namaanisha kila ikihitajika laki moja wewe kuitoa mpaka ukope au ukitoa unaishiwa. Vijana wengi wanapenda kuishi maisha ya luxury wakati hawana sifa ya kuwa na luxury, unakuta ndani kwake kajaza vifaa expensive wakati hana rasilimali ya kumpa kipato, wengi wanafanya hivyo ili waonekane wako na maisha safi kwa jamii, kumbe wanajichimbia kaburi

Asilimia kubwa ya middle class walieanza kwa ku invest kwenye mambo yasiyozalisha, mfano nyumba ya kuishi mwenyewe au gari, ukianza, ukianza kwa kujenga nyumba ya kuishi wewe ndio mbaya kabisa. Watu tunaowaita matajiri, walianza kwa ku invest kwenye kitu kinachozalisha pesa then gari la kutembelea, nyumba vikaja baadae. Huo ni ushauri wangu kwa vijana wenzangu

BAADA YA KUONA SIELEWEKI, NIMEONA NIWAPE MFANO HUU.

Hapa Tanzania, Wahindi wamekuwa waoga kujenga Tanzania kwa hofu kuwa labda hapa si kwao. Wahindi wanaishi National Housing kwa kupanga, ni mabillionaire, wameshika uchumi wa nchi hii, hawatishwi na kodi za nyumba, mfano kwa Arusha wanalipa kodi hadi 1.5m kwa mwezi kwa nyumba ambazo si national housing huko Arusha.
Sasa vipi wewe Mtanzania ungeanza na biashara then Nyumba?

Acha wabishe tu ila watakukbali siku moja.
Maana sio kila mtu lazima akubali ushauri huu ila kinachokubaliwa na wengi ndio chenye tija,maana kuna watu hata Mungu hawamkubali itakuwa mada hii.

Mie ni shuhuda wa hili na ninakubaliana sana na jamaa juu ya mada hii.

Niliajiriwa mwanzo nikafanikiwa kujenga nyumba,haikuisha ikaishia kwenye hatua za mwisho za kuezeka,then nikaacha kazi baada ya mshahara kuwa wa mwezi 86,baada ya hapo hali ikawa ngum kuliko maelezo.
Nikawa na nyumba ambayo haijaisha huku hata pesa ya kula sina na nauli sina,naenda town kwa mguu huku thamani ya nyumba ni kama 16m kulingana na hatua iliyofika na Kiwanja,maana nilinunua eneo kubwa ili niweke vitu vya kuchezea wanangu.Na pia ilikuwa Semi VIP area of our class.
Na mbaya zaidi kama unavyosema mie nilifikira ku invest kwenye bisahara iwe mwisho.

Akatokea Jamaa mmoja akaniambia sasa mkuu hapo ulipo una nyumba ambayo haijaisha na haikaliki na unapiga mizinga ya buku,mara mia tanona stresses kibao,unaweza kufa kwa mawazo huku mtaji unao.Na ukizingatia umepanga Chumba

Sasa akanishauri niuze,nilikuwa mbishi ile mbaya,maana aliniambia kijuu juu sana,sasa kwa vile mungu alikuwa amenipangia nitoke,baada ya wiki yule jamaa aliniita sehem na kunipa Darasa la maana kama jamaa hapo juu,nikamuelewa.
Basi nikaitia ile unfinished house sokoni,haikuchukua muda ikapata mteja kwa 25m kwa thamani ya wakati huo.
Yaani siku nalipwa nililia sana kwa kuona nauza nyumba yangu of my Dream hata kama haijaisha,nililia kwa kuza nyumba maana suala la kupata pesa ya mauzo nilijua nitapata tu kwa eneo lile lazima ningepata Mtu.

Sasa,akanishauri kwamba pesa iweke Bank kwa muda wa miezi miwili huku ukifiria ufanye nini na usikurupuke.

Ndio nikalipa pesa kwenda SIDO dodoma kusomea usindikaji wa vyakula.
Baada ya kumaliza nikaja kuanzisha Bisahara ya Viungo,maana kule nilikutana na Wajasiriamali wengi na upeo tofauti kwahiyo nilijifunza mengi sana na nilipata moyo sana.
Na nilienda Dodoma kwa kutegema kwamba nitakutana pia na wajasiriamali wa bisahara ya Asali ambayo ilikuwa ni ndoto yangu ya pili kwa baadae.
Baada ya mwaka mmoja nikaanza kufanyabiashara ya Viungo baada ya kusajili Kampuni,na hili suala ndugu zangu la kusajili kampuni ni rahisi sana na bei chee kabisaa,ila mtu akisikia Kampuni anaogopa.
Hii ikanifanya niwe sugu na mkavu kweli,maana ukiwa mjasirimali weka aibu pembeni na ujitoe muhanga kwa lolote na popote.
Baadaya kusajili kampuni na kununua kimtambo kidogo cha kusaga viungo na mambo mengine,nikakodi nyumba ya kupanga,yaani nyumba nzima kodi ya 250,000,yaani makazi na ofisi humohumo.
Nikapita sehem kibao kunadi bidhaa hiyo,kisha nikaenda kwenye mahoteli makubwa,huko unakumbana na changamoto kibao,ila kwenye 20 ukipata moja basi ni hatua kubwa sana.
Basi nikafanikiwa ku supply kwenye hotel mbili na pia nikafungua duka dogo mjini.Na kule SIDO nilipata rafiki zangu na wao wakaniambia wazo lako zuri ukiwa tayari utuambie na sie kama tunawaeza kuwa Agents kwa Commission,so nikaweza pia kupenya soko la baadhi ya mikoa,licha ya kwamba ni kwa kiwango kidogo sana Maana Viungo vingi hutumika sana ukanda wa Pwani.Na ndio maana nilikweda pia Mombasa kuangalia hali ipoje ila sherida kidogo za kule zikanibana,lica ya kwamba njia za magendo zipo nyingi lakini risk sana.
Naangalia namna ya kufanikisha taratbu za vibali kwa baadae.

Sasa baada ya hapo na kufanya biashara kwa muda nikaweza kununua Bodaboda kama Tano hivi ila nilianza na tatu,then nikaongeza mbili,kisha Carry tatu,moja ni ya Biashara zangu.
Ndio nikasema kwamba Bodaboda zote ni kwa kujenga nyumba na Carry moja ni kusomesha my two children International School na matumizi binafsi.
Yaani nimejenga kwa urahisi sana,maana kila mwezi nilikuwa naenda na mafundi kwa ajili ya ujenzi wa kidogo kidogo mpaka nikamaliza kwa huku,then ndio nikahamia Chanika Dar na pia nikajenga kwa style ile ile.
Maana Bodaboda moja naletewa hesabu ni Tsh:50,000 kwa wiki,kwa hiyo inakuwa (Tsh:50,000 x 5 Bd x 4wk = Jumla Tsh:1,000,000 kwa mwezi

Sasa Mie nakubaliana sana na jamaa,kujenga ni rahisi sana kama ukiwa na mradi na ku-locate baadhi ya pesa kwenye Ujenzi.Maana siku hizi mafundi tupo nao mitaani,yaani hata ukipata laki mbili basi unakwenda nae over wekend,mnapiga mzigo kisha mnasepa,ukipata tena unafanya the same,basi utamaliza nyumba bila hata kuamini.

Nahisi kama kuna kipindi vijana tuna limit uwezo wetu wa kufikiri na kuamua na kuona kwamba mimi biashara hii siiwezi hata kama inalipa vipi.Hembu jifunze uone.Hakuna kitu chepesi namna hiyo nakuna biashara inaoingiza pesa nyingi kwa haraka kwa muda mfupi,inatakiwa uvumilivu wa hali ya juu na nidhamu ya pesa na muda.
Mara nyingi vijana huiga nani kafanya nini na kwanini kafanikiwa kwa muda mfupi,unasahau kwamba unaesema kafanikiwa kwa muda mfupi sio kweli,nikwamba muhangaikaji ndio anajua muda na miaka mingapi ameteseka katika kutafuta pesa,ila sie tunaemtizama ndio tunaona kama pesa kapata juzi tu,na kama kawaida ya vijana wengi tuna ugonjwa kukatishana tamaa sie kwa sie.
Ndio maana tunashauriwa kusoma sana vitabu vya ujasiriamali na pia kujifunza kwa waliopiga hatua walizopita katika hali ngum mpaka kufanikiwa.Maisha sio rahis kabisa kama hutoishughulisha akili yako kufikiri na kufanya maamuzi magum.

Mfano mdogo wa mlio Dar,hivi mnafaham kwamba Mamalishe wengi wa Dar wana viwanja vyao na wengine wananyumba zao na wanasomesha watoto wao kwenye shule nzuri tu?Na unajua kwamba mtaji wao hata laki moja haufiki kwa baadhi yao,na ndio wanaoongoza kuhudhuria semina za ujasiriamali napia ndio wenye nidhamu kubwa sana ya pesa na pia baadhi yao wameweza hadi kuwa na miradi mingine zaidi ya hiyo.Hawa ndio Role Model wangu na nimejifunza mengi kupitia mifano yao.
 
Mkuu watu kama hao huwa wapo lakini ni wachache, mfano kuna mzee mmoja alifirisika akiwa na umri wa miaka 60, lakini alipambana hadi akawa tajiri hasa, lakini wangapi wanaweza kwa umri huo?. Gari inatoa pesa yako mfukoni, nyumba pia, baada ya hapo kuna mambo ya kuoa na kuzaa watoto ambao watahitaji ada, kwa staili hiyo hujawa middle class?

Huu ni ukweli 100%
 
Acha wabishe tu ila watakukbali siku moja.
Maana sio kila mtu lazima akubali ushauri huu ila kinachokubaliwa na wengi ndio chenye tija,maana kuna watu hata Mungu hawamkubali itakuwa mada hii.

Mie ni shuhuda wa hili na ninakubaliana sana na jamaa juu ya mada hii.

Niliajiriwa mwanzo nikafanikiwa kujenga nyumba,haikuisha ikaishia kwenye hatua za mwisho za kuezeka,then nikaacha kazi baada ya mshahara kuwa wa mwezi 86,baada ya hapo hali ikawa ngum kuliko maelezo.
Nikawa na nyumba ambayo haijaisha huku hata pesa ya kula sina na nauli sina,naenda town kwa mguu huku thamani ya nyumba ni kama 16m kulingana na hatua iliyofika na Kiwanja,maana nilinunua eneo kubwa ili niweke vitu vya kuchezea wanangu.Na pia ilikuwa Semi VIP area of our class.
Na mbaya zaidi kama unavyosema mie nilifikira ku invest kwenye bisahara iwe mwisho.

Akatokea Jamaa mmoja akaniambia sasa mkuu hapo ulipo una nyumba ambayo haijaisha na haikaliki na unapiga mizinga ya buku,mara mia tanona stresses kibao,unaweza kufa kwa mawazo huku mtaji unao.Na ukizingatia umepanga Chumba

Sasa akanishauri niuze,nilikuwa mbishi ile mbaya,maana aliniambia kijuu juu sana,sasa kwa vile mungu alikuwa amenipangia nitoke,baada ya wiki yule jamaa aliniita sehem na kunipa Darasa la maana kama jamaa hapo juu,nikamuelewa.
Basi nikaitia ile unfinished house sokoni,haikuchukua muda ikapata mteja kwa 25m kwa thamani ya wakati huo.
Yaani siku nalipwa nililia sana kwa kuona nauza nyumba yangu of my Dream hata kama haijaisha,nililia kwa kuza nyumba maana suala la kupata pesa ya mauzo nilijua nitapata tu kwa eneo lile lazima ningepata Mtu.

Sasa,akanishauri kwamba pesa iweke Bank kwa muda wa miezi miwili huku ukifiria ufanye nini na usikurupuke.

Ndio nikalipa pesa kwenda SIDO dodoma kusomea usindikaji wa vyakula.
Baada ya kumaliza nikaja kuanzisha Bisahara ya Viungo,maana kule nilikutana na Wajasiriamali wengi na upeo tofauti kwahiyo nilijifunza mengi sana na nilipata moyo sana.
Na nilienda Dodoma kwa kutegema kwamba nitakutana pia na wajasiriamali wa bisahara ya Asali ambayo ilikuwa ni ndoto yangu ya pili kwa baadae.
Baada ya mwaka mmoja nikaanza kufanyabiashara ya Viungo baada ya kusajili Kampuni,na hili suala ndugu zangu la kusajili kampuni ni rahisi sana na bei chee kabisaa,ila mtu akisikia Kampuni anaogopa.
Hii ikanifanya niwe sugu na mkavu kweli,maana ukiwa mjasirimali weka aibu pembeni na ujitoe muhanga kwa lolote na popote.
Baadaya kusajili kampuni na kununua kimtambo kidogo cha kusaga viungo na mambo mengine,nikakodi nyumba ya kupanga,yaani nyumba nzima kodi ya 250,000,yaani makazi na ofisi humohumo.
Nikapita sehem kibao kunadi bidhaa hiyo,kisha nikaenda kwenye mahoteli makubwa,huko unakumbana na changamoto kibao,ila kwenye 20 ukipata moja basi ni hatua kubwa sana.
Basi nikafanikiwa ku supply kwenye hotel mbili na pia nikafungua duka dogo mjini.Na kule SIDO nilipata rafiki zangu na wao wakaniambia wazo lako zuri ukiwa tayari utuambie na sie kama tunawaeza kuwa Agents kwa Commission,so nikaweza pia kupenya soko la baadhi ya mikoa,licha ya kwamba ni kwa kiwango kidogo sana Maana Viungo vingi hutumika sana ukanda wa Pwani.Na ndio maana nilikweda pia Mombasa kuangalia hali ipoje ila sherida kidogo za kule zikanibana,lica ya kwamba njia za magendo zipo nyingi lakini risk sana.
Naangalia namna ya kufanikisha taratbu za vibali kwa baadae.

Sasa baada ya hapo na kufanya biashara kwa muda nikaweza kununua Bodaboda kama Tano hivi ila nilianza na tatu,then nikaongeza mbili,kisha Carry tatu,moja ni ya Biashara zangu.
Ndio nikasema kwamba Bodaboda zote ni kwa kujenga nyumba na Carry moja ni kusomesha my two children International School na matumizi binafsi.
Yaani nimejenga kwa urahisi sana,maana kila mwezi nilikuwa naenda na mafundi kwa ajili ya ujenzi wa kidogo kidogo mpaka nikamaliza kwa huku,then ndio nikahamia Chanika Dar na pia nikajenga kwa style ile ile.
Maana Bodaboda moja naletewa hesabu ni Tsh:50,000 kwa wiki,kwa hiyo inakuwa (Tsh:50,000 x 5 Bd x 30 = Jumla Tsh:1,050,000 kwa mwezi

Sasa Mie nakubaliana sana na jamaa,kujenga ni rahisi sana kama ukiwa na mradi na ku-locate baadhi ya pesa kwenye Ujenzi.Maana siku hizi mafundi tupo nao mitaani,yaani hata ukipata laki mbili basi unakwenda nae over wekend,mnapiga mzigo kisha mnasepa,ukipata tena unafanya the same,basi utamaliza nyumba bila hata kuamini.

Nahisi kama kuna kipindi vijana tuna limit uwezo wetu wa kufikiri na kuamua na kuona kwamba mimi biashara hii siiwezi hata kama inalipa vipi.Hembu jifunze uone.Hakuna kitu chepesi namna hiyo nakuna biashara inaoingiza pesa nyingi kwa haraka kwa muda mfupi,inatakiwa uvumilivu wa hali ya juu na nidhamu ya pesa na muda.
Mara nyingi vijana huiga nani kafanya nini na kwanini kafanikiwa kwa muda mfupi,unasahau kwamba unaesema kafanikiwa kwa muda mfupi sio kweli,nikwamba muhangaikaji ndio anajua muda na miaka mingapi ameteseka katika kutafuta pesa,ila sie tunaemtizama ndio tunaona kama pesa kapata juzi tu,na kama kawaida ya vijana wengi tuna ugonjwa kukatishana tamaa sie kwa sie.
Ndio maana tunashauriwa kusoma sana vitabu vya ujasiriamali na pia kujifunza kwa waliopiga hatua walizopita katika hali ngum mpaka kufanikiwa.Maisha sio rahis kabisa kama hutoishughulisha akili yako kufikiri na kufanya maamuzi magum.

Mfano mdogo wa mlio Dar,hivi mnafaham kwamba Mamalishe wengi wa Dar wana viwanja vyao na wengine wananyumba zao na wanasomesha watoto wao kwenye shule nzuri tu?Na unajua kwamba mtaji wao hata laki moja haufiki kwa baadhi yao,na ndio wanaoongoza kuhudhuria semina za ujasiriamali napia ndio wenye nidhamu kubwa sana ya pesa na pia baadhi yao wameweza hadi kuwa na miradi mingine zaidi ya hiyo.Hawa ndio Role Model wangu na nimejifunza mengi kupitia mifano yao.

Nashukuru kwa darasa lako zuri,mimi nimekwama kidogo ila ushauri wako utanisaidia wapi ka kuanzia
 
Kwa kweli watu tunatofautiana malengo na inategemea pesa yako unaipata vp, lets say umekopa then unaenda kununua gari huo ndio utakuwa ujinga wa mwisho kama huna kitega uchumi cha kukuingizia pesa lazima ukwame, kwa upande wangu nilianza kununua gari nilikuwa napata shida usafiri asubuhi ,then kiwanja ,ikaja nyumba na sasa nafikiria ndio nifanye buashara mwezi November napiga trip ya Thailand so maisha hayana formula ni kama kioo
 
Kweli ndugu, vijana cha muhimu ni kupambana ili kutokuwa na chanzo kimoja cha mapato.
 
Back
Top Bottom