Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

Sirahisi kivipi mbona easy tuu mm mbona nilikuwa napokea ila za bro ktk miradi yake ni western na switft chini ya 15 milioni hakuna shida yoyote tena kama anaweza kila week anaweka mzigo 2 labda awe anaishi kimagendo huko aliko.
Bro wako atakua na kazi inayoeleweka na yupo kwenye system za benki na analipa kodi sasa huyu yupo na cash tena ni nyingi
 
kinachotakiwa ni account iwe verified... mbona tunazidanlod huko paypal na hawatuulizi

Chamsingi uwe na paypal iliyovuka viwango vya limit
thubutu, unaletewa mkeka wa KYC mpaka wa babu yako, ndiyo utajua hujui
 
What is the minimum capital requirement for banks in Tanzania?


(1) A community bank shall not establish a branch, agency or other office unless it has a minimum Tier 1 capital of five billion shillings and has obtained prior approval of the Bank
 
Nimekumbuka juzi nimesoma gazeti la Kenya namna Wanaijeria kupitia kampuni Yao walivyosafisha 60million Usd kupitia Kenya. Hawa Watu ni habari nyingine. Bahati mbaya waliacha ushahidi kwa mawasiliano Yao ya watsapp
Hawa ndo wanafanya africa/ watu weusi tuwekewe alarm ulaya wao kila kitu fursa hadi wanaharibu
 
Mmmmhhh.... Watu wana hela jmn..
Afanye kujitumia me zilinde tu account yangu
 
Sijajua uelewa wako wa mambo ukoje , ila now days njia rahisi ya kusafirisha pesa nyingi kwenda kokote kule duniani ni njia ya cryptocurrency na sio Fiat currency

Cha kufanya nunua hard ledger wallet Ipo kama flash hivi mfano wake nimeambatanisha hapo then buy usdt zako tumbukiza humo and una safiri nayo ukija hapa bongo una exchange via P2P unapata cash

Kuzipata ingia kwenye website yao na inakuwa na full instructions
 
Umenikumbusha series ya Breaking Bad aisee hela za kuzipata bila kuwa na maelezo yaliyonyooka ni Msalaa sana yani ni zaidi ya matesoo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Huwezi kuspend kwa kasi maana kitaumana tuu.. Ukisema uende bank ndo utajua hujuiii tena bank za kiafrika hizii wana uchuu na tamaa balaaaa unaweza wahonga na kesho wakakugeukaa mzee...!! Pole sana mkuu... But Kuna black market unaweza zisafirisha hata kwa kutumia usafiri wa majini ila USITUMIE BANK WALA SYSTEM YOYOTE YA SIMU UTADAKWA.
 
Uko nchi gani,kama uko bara la Asia inbox nikupe maelekezo
 
Mkuu sisi tuna NGO ambapo tunaruhusiwa kupokea pesa ndefu kutoka nje


Tukipanga mchongo vizuri unaweka pesa na unakuja bongo unazitoa bila kelele
 
Uko nchi gani,kama uko bara la Asia inbox nikupe maelekezo
Kwamba Adeposit direct alafu aje Kutoa kwa njia za simu au bank au??? Unadhani bank watakubali kifala hivyoo..?? Maana hizo system zote za hela wana uwezo wa kuangalia hizo hela ulipatajee huwezi deposit tu bila kutrade alafu uwith draw.
 
Mkuu sisi tuna NGO ambapo tunaruhusiwa kupokea pesa ndefu kutoka nje


Tukipanga mchongo vizuri unaweka pesa na unakuja bongo unazitoa bila kelele
Labda hii NGO nayo siku hizi tokana na Ushoga kusambaa ni kwenda nayo kwa step haiwezekani from no where NGO inapokea mamilion toka malaysia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…