Weka kwenye bank account ya benk Iyeyote huko nje kisha beba Viza au master card yako utakuwa una draw taratibu pesa zako ukiwa Tanzania kwenye ATMSomething to note wakati mnanishauri.
Money transfer yyte inahitaji maelezo kwa pesa ya urefu huo. 100% itapotea.
Go and return. Itanichukua si chini ya milioni 200 tickets kusafirisha dola elfu kumi kila trip.
Hela tajwa juu, idadi iliyofikia si yakukaa nayo cash kwa nchi niliyokuepo na nchi nyingi za ulaya. Ni hela iliyokusanywa. Sema imezidi limit na ubaya ipo in cash. Ngumu kutolea maelezo popote.
Mdanganyee tuu[emoji3][emoji3][emoji3] Mambo ya helaa magumu sanaa yeye sio mjinga kuuliza hiyo njia sio kwamba haijui...!!Weka kwenye bank account ya benk Iyeyote huko nje kisha beba Viza au master card yako utakuwa una draw taratibu pesa zako ukiwa Tanzania kwenye ATM
Popote kwenye ATM zilizosambaa nchi nzima
Pesa bana ukizikosa kichwa kinauma na zikizidi kichwa kinauma sky soldier Kiongozi nahisi kaipata kwa Biashara..kwa mkupuo Pap..so hawezi kua nyaraka na kama angekua na nyaraka means asingetaka msaada hapaPesa hio ina nyaraka za halali za jinsi ilivyopatikana ??
Mbona unarahisisha mambo sana mkuu , kwenye mambo ya benk kuna sheria za kuzui utakatishaji fedha na ugaidi anavoweka hizo hela B1.1+ lazima awe na maelezoWeka kwenye bank account ya benk Iyeyote huko nje kisha beba Viza au master card yako utakuwa una draw taratibu pesa zako ukiwa Tanzania kwenye ATM
Popote kwenye ATM zilizosambaa nchi nzima
Kutoa hela zako kwenye ATM unatoa maelezo kwenye ATM?Mbona unarahisisha mambo sana mkuu , kwenye mambo ya benk kuna sheria za kuzui utakatishaji fedha na ugaidi anavoweka hizo hela B1.1+ lazima awe na maelezo
Sasa wew Uwekewe Mil 500 leo kwenye acc yalo alafu nenda ATM card katoe uonee kama zitatokaaa... ATM machine zipo tu pale ukifungiwaa hata ukiwa na Bil 20 hutoi hata 100 ndugu yangu kutakatisha fedha sio jambo dogoo...!!Kutoa hela zako kwenye ATM unatoa maelezo kwenye ATM?
Walioanzisha Visa Card na Master Card waliona mapema kuwa watu wao wataptaa usumbufu.wa kutwa kufungua account kila nchi
Ukiwa na Account kwenye benki zao unatoa pesa ATM yeyote popote duniani bila shid
Lakini umemwelewa mleta maada kasema ana cash, ingekua rahisi hivo asingekuja kuulizaKutoa hela zako kwenye ATM unatoa maelezo kwenye ATM?
Walioanzisha Visa Card na Master Card waliona mapema kuwa watu wao wataptaa usumbufu.wa kutwa kufungua account kila nchi
Ukiwa na Account kwenye benki zao unatoa pesa ATM yeyote popote duniani bila shid
Online business na wakati anakwambia pesa zipo cash!! ?Online marketing mzee, usikaze fuvu! Kwani akiwa huko USA au ULAYA hana simu au computer ya kumulika bidhaa hata china!!? Huko china anapo agiza adress anatoa za Dar es salaam port, anacheck agent hata hao silent ocean wanamfanyia mambo yake vizuri tu na si lazima afanye manunuzi ya pesa zote hizo kwa mara moja! Mf hizo Howo na trailer zake anaweza kuchukua hata 5 na mpaka anazifikisha hapa Tz nusu ya hiyo pesa inakua imesha enda na maji yeye ni kufanya miamala tu mpaka zoezi linaisha, baada ya hapo anashughulikia vibali vyuma vinasubiri kuingia mzigoni, baada ya muda anafanya manunuzi mengine
Kuna mitambo kama ma'grador na scavator! Ukichukua loader moja la uhakika na scavator moja hiyo pesa inapukutika na zikifika ni anajipigia pesa zake taratiibu hato amini, lazima zirudi kama upepo
Rudi juu comments moja moja[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Online business na wakati anakwambia pesa zipo cash!! ?
Pesa ipo ulaya in cash ananunuaje nyumba hapa ?1. Nunua mali kama nyumba hapa Tz ukishafika uiuze kwa faida
ATMs Zina limit ya kutoa hela Tena kwa siku. Ukiwa na pesa nyingi lazima uingine ndani ufanye transactions na hapo ndio wasi wasi utakapoanzaKutoa hela zako kwenye ATM unatoa maelezo kwenye ATM?
Walioanzisha Visa Card na Master Card waliona mapema kuwa watu wao wataptaa usumbufu.wa kutwa kufungua account kila nchi
Ukiwa na Account kwenye benki zao unatoa pesa ATM yeyote popote duniani bila shid
1. Bank wanabana. IR ukiingiza $10,000 baada ya muda wanasaka. Nitapodeposit $10,000 nyingine itakua tatizo.
2. Go and return atleast we can work though ni risk.
3. Hii ya wapiga deal. Mfano wake upoje. Naona imekaa poa.
Uhalali wake ni nini sasa..?Hii hela ni halali. Ila haina uhalali wa kuingia tu bank
Hatujawahi kufanya biashara yoyote na wala hunijui vizuri, we binafsi unaweza kurisk hata milioni kumi kunikabidhi?
Yaah pesa mwanaharamu sema akubali kutoa kiaisi zitakatishweee...!!Awatafute anaofahamiana nao au aongee na mashirika ya dini ionekane km msaada
Cash zina move sema waswahili hatuaminianiLakini umemwelewa mleta maada kasema ana cash, ingekua rahisi hivo asingekuja kuuliza