YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Weka kwenye bank account ya benk Iyeyote huko nje kisha beba Viza au master card yako utakuwa una draw taratibu pesa zako ukiwa Tanzania kwenye ATMSomething to note wakati mnanishauri.
Money transfer yyte inahitaji maelezo kwa pesa ya urefu huo. 100% itapotea.
Go and return. Itanichukua si chini ya milioni 200 tickets kusafirisha dola elfu kumi kila trip.
Hela tajwa juu, idadi iliyofikia si yakukaa nayo cash kwa nchi niliyokuepo na nchi nyingi za ulaya. Ni hela iliyokusanywa. Sema imezidi limit na ubaya ipo in cash. Ngumu kutolea maelezo popote.
Popote kwenye ATM zilizosambaa nchi nzima