Ukiwa pekeyako nyumbani huwa unafanya nini kama huna kazi?

huwa napiga puri kisha usingizi wa ng'ombe hufuata[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mi movie sana, mana napakua mm na kula mm, kipendwa changu ndo icho, au kucheki mambo jf kama hiv kubadilishana mawazo na wadau
 
Nachukua body spray(kopo/chupa) nasimama na kuanza kuimba nikiwa nimeweka karaoke...basi nta perform balaa...napenda sana mziki mzuri na kusoma vitabu...nikishindwa hayo basi ni kulala...

Yani huyu mimi kabisa sema nikiisha zikusanya zile kopo za spray najiweka nyingi kama mic zilizo nizunguka halafu natoa speech naona kama kuna hadhira inanisikiliza yani, hii ni sababu tangu niko form one mpaka six nilikuaga na penda kukalili speech za kina brother Malcom, martin luther king Jr na Sankara, kina biko, halafu naenda kuzimwaga Assemble. "i have a dream" ile speech mpaka nalala milele itakuwepo kichwani
 
Hahahahh wooiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…