Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji23][emoji23][emoji23]Huwa na unblock wabebez wazaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Huwa na unblock wabebez wazaman
Nikiwa mkweli kabisa kwenye hili huwa na practice ushirikina...
Una unblock alafu unaangalia kama wapo online alafu una block tena[emoji23][emoji23]Huwa na unblock wabebez wazaman
Una unblock alafu unaangalia kama wapo online alafu una block tena[emoji23][emoji23]
Sijawahi kuroga mtu au kufanya mazingaombwe... Niko real...!!!Mkuu ku-practice ushirikina [emoji41][emoji41] ina maana unaloga watu au unafanya mazingaumbwe?
Dah ila weweHuwa nachat na madanga mapya mtandaoni na kuyatapeli nauli
Dah ila wewe
Unatoa makavu kabisa, ni vitu ambavyo hata km hufanyi lkn kuna watu huvifanya kiuhalisia lkn hawawezi kukiriNimefanyaje
HahahahahHuwa nachat na madanga mapya mtandaoni na kuyatapeli nauli
Alafu?Mimi huwa nafumba macho
Sijawahi kuroga mtu au kufanya mazingaombwe... Niko real...!!!
Nachukua body spray(kopo/chupa) nasimama na kuanza kuimba nikiwa nimeweka karaoke...basi nta perform balaa...napenda sana mziki mzuri na kusoma vitabu...nikishindwa hayo basi ni kulala...
Hahahahh wooiiiiYani huyu mimi kabisa sema nikiisha zikusanya zile kopo za spray najiweka nyingi kama mic zilizo nizunguka halafu natoa speech naona kama kuna hadhira inanisikiliza yani, hii ni sababu tangu niko form one mpaka six nilikuaga na penda kukalili speech za kina brother Malcom, martin luther king Jr na Sankara, kina biko, halafu naenda kuzimwaga Assemble. "i have a dream" ile speech mpaka nalala milele itakuwepo kichwani