Ukiwa pekeyako nyumbani huwa unafanya nini kama huna kazi?

Naperuzii mpaka hii Tecno inapata moto, ikipata moto hivo naipumzisha ,nalala[emoji3] [emoji3]
 
Me huwa nasikiliza tu zilizopendwa maana watu wakiwepo nashindwa kusikiliza,, hawataki kuzisikia
 
Huyu hakufikii hata 5β„…


Tena ngoja nimchane mbele yako.
Kwanza me nashangaa anashoboka shoboka

Wee kima @demmiss unikomeeee...!!!!
Wee mtoto alivyo mashallah huyo,hapana kwakweli, lazima moyo unipasuke [emoji12]
 
Lakini mtoa tangazo hakuwa makini.[emoji28][emoji28] hyo simu mkuu kwa uelewa wako uoni kama ni samsung?
Yah! ni j5 hiyo nahisi..... ila hapo ilitolewa kama mfano tu jinsi handle zinavyo kaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…