Ukiwa pekeyako nyumbani huwa unafanya nini kama huna kazi?

Aisee siwezi kukaa hom bila ishu unachoka balaa, natoka nje najitenga kwenye kona ya nyumba demu akipita namla saundi hadi anaingia laini naenda kugonga ndani anapika nagonga tena, namruhusu nenda kwenu....... Waafrica bhana tunawaza tu ngono..
 
Nikiwa alone hua natafakari nikifa nafsi yangu kama itakua hai je itakua wapi. Na kabla sijazaliwa nilikuwa wapi
 
Singidan ulikuwa hotel ipi KBH au Regence
 
Huwa nachat na madanga mapya mtandaoni na kuyatapeli nauli
Aise rudisha iyo 4800[emoji23][emoji23][emoji23]


Tulichat vizur PM na baadae tukahamia whatsapp hadi video call. Tukakubaliana nikakutumia nauli mpaka leo kutoka hapo maji matitu kuja hapa tabata unanizungusha Leo week ya nne.

Tafadhali rudisha hela yangu la sivyo nitajitoa muhanga nianike chat zetu za PM hata nikipigwa ban najua nitarudi baada ya siku kazaa.

Najua juzi kati ulikuwa na birthday hadi humu jeiefu wakakupongeza. Kama uliongezea mahitaji ya sharehe yako mimi nataka pesa yangu.

UPDATE.
Naona amenitext whatsapp alipoona huu uzi baada ya kunibuloku kwa wiki tatu. Sasa nasema hivi, pesa arudishe na riba ya 50 pasenti. La sivyo nakuja kuanika chat zako za pm. Nimekubali kupigwa bani maana nitapigwa bani na iko siku nitaudishwa.

Pipoooooooozi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…