T tripof JF-Expert Member Joined Apr 2, 2024 Posts 829 Reaction score 1,120 Jun 12, 2024 #21 Nafasi za ujumbe wa bodi na kamati mbalimbali zitangazwe hasa zenye sura ya kitaifa na mikoa na sheria namba 8 irekebishwe kwendana na hilo.
Nafasi za ujumbe wa bodi na kamati mbalimbali zitangazwe hasa zenye sura ya kitaifa na mikoa na sheria namba 8 irekebishwe kwendana na hilo.
W wetangula Member Joined Jul 30, 2022 Posts 37 Reaction score 76 Jun 13, 2024 #22 Duduvwili said: Muwe mnacha umbea bas Click to expand... umbea ni nini? utumishi wa umma ni kwa wote