Ukiwa umeenda kuosha gari zingatia haya

Hili ni tatizo kubwa sana kwa nyingi ya carwash za kibongo.
 
Hadithi njoo utamu kolea.
 
Hizo ni carwash za vichochoroni!!!

Nishawahi kuwa msimamizi carwash tumepanga petrostation! Ulinzi wake ni uko juu! Mteja anaweza akaacha gari hata siku nzima na akalikuta salama kabisa

Hila gari za abiria kama coaster unaweza kukuta mteja kasahau begi! Nguo! vyote anakabiziwa dereva

Ila kuna coaster moja waliokota kifungashio chini ya seat kina hela laki sita! tukajua tu tukimpa dereva itakua imeisha hiyo , tukakausha!!!

Hizo doc hata huwa hawasomi wanazipanga tu!
kuna vitu vingine unaviona tu kama nida card, passport, vipimo vya ukimwi, dildo, etc


deals ndogo ndogo hazikwepeki
 
Kwamba wanaenda car wash kuoga?
Eh halafu wanasema wanaibiwa vitu sasa ukiacha kwenye sink begi , au kitu chako muhimu kama simu , huibiwi ulimkabidhi nani . Maana sio car wash zote wanaofisi zakuhifadhi vitu vya mteja
 
Eh halafu wanasema wanaibiwa vitu sasa ukiacha kwenye sink begi , au kitu chako muhimu kama simu , huibiwi ulimkabidhi nani . Maana sio car wash zote wanaofisi zakuhifadhi vitu vya mteja
Ndo maana nikasema utaratibu mzuri nikuoshea sehemu inayoeleweka ikiwemo nyumbani.
 
Safi kabisa boss mkuu .
Tuna mchango wa kuwahudumia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu lakini waathirika wa gonjwa la UKIMWI ,tafadhali wakumbuke uonapo Tangazo hilo ITV .

Ila na Mimi nakunywaga tuulanzi twa hapa na pale kaka
 
Asante kwa tahadhali nzuri
Vingi umesema vya kwei ila mzee kubadilishiwa control box car wash ni swala lakufikirika sana.

Hiyo control box ilipigwa huko huko gereji.
Mambo ya car wash ni mengi sana ila kubadili control box haiwezikua moja kati ya hayo.

Pia mengine hayafanyiki intentionally, kuna kujisahau, kuna kuchanganya, kuna kutokua makini, sio wote wanafanya hayo maudhi kwa order.

Swala la pressure kubandua rangi tukikubali kumlaumu mpiga pressure basi mende akiangusha kabati tumlaumu mende.
 
Pia cha moto mkumbuke kukiwekea safe kuna siku unaweza kuwa victim bila kutarajia kutoka kwa wanao access chombo chako cha usafiri.
 

Attachments

  • Untitled.png
    1.1 MB · Views: 6
Unaenda kuosha gari vichochoroni.

Osha gari wehemu zenye kueleweka zinazokuwa na waangalizi.
 
Wanaiba spana, wananyofoa sana vipira vidogovidogo halafu siku nyingine wanakuuzia
Pale walipozipiga Carpets zangu, jamaa alijisahau akaropoka kuwa ana Carpets (Universal) full set.. slightly used anauza kwa 30k zote... mie nikajiuliza huyu Carpets anatoa wapi.. kumbe ndio hizo hizo anazoibia watu na kuwauzia hao hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…