Niliuza gari langu la kazi kisa nina shida ya 10m lol, inanuuma mpaka leoWakuu
Kufulia kusikie tu kwa jirani.kuna kipindi kama miaka minne imepita,niliwahi kufulia kiasi kwamba nilikosa hata mia mbovu mfukoni.nikaona mambo yasiwe mengi nikauza zangu laptop yangu ilikua mpya kabisa aina ya HP kwa bei sawa na bure ili mambo yaende,ebana nikikumbukaga hii issue najihisi kuumia sana.
Kuna yeyote aliwahi kukumbwa na majanga kama haya?
Niko hapa nasubiri shuhuda za waliouza marinda yaoWakuu
Kufulia kusikie tu kwa jirani.kuna kipindi kama miaka minne imepita,niliwahi kufulia kiasi kwamba nilikosa hata mia mbovu mfukoni.nikaona mambo yasiwe mengi nikauza zangu laptop yangu ilikua mpya kabisa aina ya HP kwa bei sawa na bure ili mambo yaende,ebana nikikumbukaga hii issue najihisi kuumia sana.
Kuna yeyote aliwahi kukumbwa na majanga kama haya?
kimfaacho mtu chake.Mimi ningeuza hadi pete ya ndoa sema ni vile naona aibu kutafuta mteja🤣
Ya gold nanua ni gram ngapi kwanza?Mimi ningeuza hadi pete ya ndoa sema ni vile naona aibu kutafuta mteja🤣
Hii sasa ndio hasara.....lakini sijui gari laptop hivyo vitu unavitafuta unavipata tenaNiko hapa nasubiri shuhuda za waliouza marinda yao
Ya gold nanua ni gram ngapi kwanza?
Nyie mnaitwa wazee wa fursaYa gold nanua ni gram ngapi kwanza?
Kibiashara zaidiNyie mnaitwa wazee wa fursa
Kabisa mkuu.kimfaacho mtu chake.