rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Wafia dini mnaharibu Kila kitu, si Kila anaefulia/kuanguka kakosea au kamkosea huyo Mungu, kwa bahati mbaya sana hii dunia haiko fair watu wema ndie wanaongoza kwa kupata majanga na kufulia Sasa sijui nao mtasema wanakosea wao tu?.
Kama hujawai kutana na hii situation kaa kwa upole na usijudge kwa ubaya wala kwa wema maana huujui ukweli.
Chil, humu Kuna watu wamepitia mengi sana.
Mapovu ya nini mkuu?? Au ndio stress za kuuza vitu😅😅