Ukiwa umefulia ni kitu gani chako cha thamani uliwahi kukiuza ambacho leo ukikumbuka nafsi inakuuma?

hakuwa muungwa mtoe kwenye ushkaji kama ni mimi ningekukopesha Kwa dhamana ya gar lkn hata kama ni mtu Baki Huwa najisikia vibaya kununua kitu Kwa muuzaji anaekuuzia huku anauchungu na hiyo Mali mbaya sana hiyo.
 
Niliuza eneo langu sehemu milioni saba,ela nikaitia kwenye biashara fulani ya mazabe maiaka iyo, picha linaanza wazee walinilalia,mzigo ukapotea wote na mimi nikabakia na pumbu zangu, kumbuka hapo nilienda kwa mganga ili nisikamatwe na wazee,alinipa hirizi fulani ivi,

Huyo mganga alikuwaga kibaha kwa mfipa anaitwa mzee kidude ,


Iyo mwaka 2003,

Nikarudi kijijini fasta kujipanga kwenye korosho
 
Nikiwa Chuo Undergraduate nililuza samsung tablet yangu bei ya kutupa kisa tu nipate 150K niende Billz enzi hizo, baadae kidogo nikauza laptop 250K.....
 
Huyo hafai kuwa rafiki, muepuke.
 
Duh, kufa kufaana
 
Ukiona umeanza kuuza na vitu rejea kwa Mungu wako kuna mahari umeteleza vibaya mno ukaangukia chaliiii ubongo kwenye tiles.
Wafia dini mnaharibu Kila kitu, si Kila anaefulia/kuanguka kakosea au kamkosea huyo Mungu, kwa bahati mbaya sana hii dunia haiko fair watu wema ndie wanaongoza kwa kupata majanga na kufulia Sasa sijui nao mtasema wanakosea wao tu?.

Kama hujawai kutana na hii situation kaa kwa upole na usijudge kwa ubaya wala kwa wema maana huujui ukweli.

Chil, humu Kuna watu wamepitia mengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…