Ukiwa umefulia ni kitu gani chako cha thamani uliwahi kukiuza ambacho leo ukikumbuka nafsi inakuuma?


Mapovu ya nini mkuu?? Au ndio stress za kuuza vituπŸ˜…πŸ˜…
 
Niliuza mafremu ya urithi kisa kwenda Dubai na binti mmoja mzur wa kidigo lakni saiv hata nipigeje hapokei smu na yupo na mwanaume mwingne mweny pesa anafanya kazi uwanja wa ndege
Wewe ni boya mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ₯³
 
Huyo hafai kuwa rafiki, muepuke.
Cha ajabu takriban miaka 4 mbele hana cha maana.
Tabia yake haikuwa kwangu tu. Alishakuwa na mchezo mpaka wa kudhulumu vitu vya watu kwa kupitia mikopo na kutaifisha vitu viliyowekwa kwake bond.

Kwa sasa hana mbele wala nyuma, nina hakika dhulma alizofanya kwa wengine zinamrudia sasa. Ni mtu mwenye hulka ya tamaa na choyo.
 
Scientific calculator OSalo & Foska.

Na Laptop aina ya DELL.
 
Tegemea kuja kusikia mwanao amechapwa nao iwe kwa hiyari kwa sababu ya tamaa zake ama kwa force, kadhulumu watu wenye roho zao ngumu.
 
Niliuza laptop, LG TV, simu sumsung

Pass🀣🀣🀣 hi ndio huwa inaniuma Zaid kwasab nilimuuzia fund wa mtaan kwang mpaka Leo ipo
 

2020 Nilienda kuuza vigae kama vinne vilibaki home baada ya ujenzi nikakutana na mwana mmoja akaniambia Kuna dingi anavihitaji tukaenda tukafika mida ya samoja usiku mzee akasema anipe buku 2 hela nyingine nitafata kesho nilikasirika Sana na siwezi kurudi navyo home itakuwa noma, ikabidi nipokee tu, tukagawana na yule mwana bukubuku ,aloo. SIJARUDI KWA YULE DINGI HADI LEO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…