DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ili upate pesa zinazohesabika Unabidi kuheshimu kila MTU katika Jamii yako.
Maana mfanyabiashara anahitaji pesa ya kila MTU uwe, masikini, uwe tajiri, uwe mlevi, Uwe shekh, uwe mchungaji nk.
Hii kanuni inatumiwa na watu wenye Mafanikio kila hatua unayopiga huwa anasogeza Ukaribu zaidi na jamii na makundi ya watu mbalimbali ili kuvuna pesa zao.
So ukiona MTU ana dharau hata umu JF Basi ujuwe huyo ndo wale ambao hapo walipo wameona panatosha hawana ndoto kubwa za Mafanikio.