Ukiwa una dharau kundi lolote katika jamii yako, sahau kabisa kuhusu Mafanikio Makubwa

nafikiri hakuna haja ya kufikiria sana mtu wa mtandaoni ukiwa na mambo yako mengi yakufanya kukuingizia kipato wala huwezi pata muda wa kufikiria id za jf.
Tena fake, kuna member alisema yeye humu anaingia akiwa bar analewa 🤣🤣
Ukifikiria kwa makini yuko sahihi, huwezi kujichosha na watu usiowafahamu
 
mimi huwa nashanga sana mtu anaweka mawasiliano yake sahihi nakufanya biashara na id fake au pengine kuomba msaada wa kiofisi kabisa kwa id fake alafu badae analia ahilia mbali kuamini mambo ya mtandaoni hata ili la id fake nao unapigwa au kupata sonona kweli kuna watu ni hovyo sana
 
Kuna watu ni masikio ya kenge mpk watoke damu ndio wanasikia, humu ni sehemu ya kuburudika na kupoteza muda masaa yaende tuendelee na mambo mengine.
Sasa kuchukulia vitu serious ni kujitafutia sonona na visirani
 
Achana na dharau , uchoyo na ubinafsi ndio sumu kuu kwenye jamiii!
 
Humu unamjuaje mtu kama ana dharau?
Humu unamjua mtu Kama Ana dharau kutokana na majibu yake ya uchangiaji tu, kinyodo, kimajivuno, kibusara, kinguruwe, ndo utaelewa huyu mtu yukoje kitabia.
 
Back
Top Bottom