Top up kwenye full tank...ni kweli haili kiviile kama ya kigaloniHabarini wapendwa, Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada, je gari ukiwa unaweka full tank na sio ya mafuta ya buku kumi kumi inapunguza ulaji wa mafuta ??? Yaani kuna mtu kanishauri gari yangu niwe naweka full tank siku ikikaribia kuisha najaza tena eti nisiwe naweka ya buku kumikumi inakua inakunywa sana, je ni kweli ?? Kwa wenye uelewa nielewesheni plz
Hakuna jibu la maana ulilopewa hadi sasa. Ukweli ni kwamba ukiweka gari full tank utatumia mafuta zaidi katika kuendesha gari kadiri mafuta yalivyo mengi, kwa sababu mafuta yanakuwa sehemu ya mzigo katika gari kwa hiyo injini inabidi ifanye kazi ya ziada kubeba mzigo wa mafuta.Habarini wapendwa, Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada, je gari ukiwa unaweka full tank na sio ya mafuta ya buku kumi kumi inapunguza ulaji wa mafuta ??? Yaani kuna mtu kanishauri gari yangu niwe naweka full tank siku ikikaribia kuisha najaza tena eti nisiwe naweka ya buku kumikumi inakua inakunywa sana, je ni kweli ?? Kwa wenye uelewa nielewesheni plz
Loh. Hii sasa ni kaliHakuna jibu la maana ulilopewa hadi sasa. Ukweli ni kwamba ukiweka gari full tank utatumia mafuta zaidi katika kuendesha gari kadiri yafuta yalivyo mengi, kwa sababu mafuta yanakuwa sehemu ya mzigo katika gari kwa hiyo injini inabidi ifanye kazi ya ziada kubeba mzigo wa mafuta.
Kihesabu tunasema fuel consumption is directly proportional to fuel level in the tank; C = kL, where C = fuel consumption rate, k = constant of proportionality, na L ni fuel level in the tank. Hiyo "k" ni assumption kwamba factors nyingine hazibadiliki, mfano idadi ya abiria ndani ya gari. Au kwa njia rahisi ni kwamba, rate ya consumption ya mafuta iko directly proportional na uzito wa gari. Kwa hiyo kadiri unavyojaza tank ndivyo unavyoongeza uzito wa gari na ndivyo gari itakula mafuta zaidi. Ulaji wa mafuta utapungua kadiri mafuta kwenye tank yanavyopungua, au kadiri uzito wa gari (load) unavyopungua.
Hiyo pia ndio sababu ndege haziweki full tank zinaporuka kwenda safari fulani, wanaweka mafuta yatakayotosha kuwafikisha wanapokwenda, na ziada kidogo ya emergency
Ndio maana unashauriwa usiweke vitu usivyohitaji kwenye buti ya gari kwa kuwa inafanya gari itumie mafuta zaidi. Utakuwa umesikia watu wakisema magari ya siku hizi ni karatasi sana tofauti na ya zamani - ni kweli na hilo lilifanyika ili kupunguza uzito wa gari ili lisitumie mafuta kwa wingi.
Kwa nini? Angalia usiwe unashauriwa kutokana na stori za mitaani. Ukweli wa kisayansi ndio huo.Loh. Hii sasa ni kali
Una hela lakini au unatusumbua tuAHSANTENI KWA MICHANGO YENU JAMANI NITAJITAIDI KWANZIA LEO NITAKUWA NAWEKA FULL TANK YAKIISHA TENA NAWEKA FULL
kwa hiyo shape yake ya kwenye avatar unafikiri anashindwa jaza matankUna hela lakini au unatusumbua tu
Mafuta yenyewe bei imepaa balaa
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kiruu kumbe ni KE[emoji849][emoji849]kwa hiyo shape yake ya kwenye avatar unafikiri anashindwa jaza matank
Hilo ni kweli kabisa technical hai make sense full tank na empty tank, vyote vinategemea na mambo mengine kama, aina ya barabara milima au matope, lami , speed unayoenda, unatumia ac au la, na aliyoeleza mkuu comment # 9Loh. Hii sasa ni kali
Sasa hapa ndio umeongea nini? Technical hai make sense? Full tank na empty tank? - utaendashaje gari na empty tank?Hilo ni kweli kabisa technical hai make sense full tank na empty tank, vyote vinategemea na mambo mengine kama, aina ya barabara milima au matope, lami , speed unayoenda, unatumia ac au la, na aliyoeleza mkuu comment # 9
tunataka proove kama hizi kwa maswali ya kitaalam,siyo majibu ya kupiga ramli,kama kuna anapinga nae alete formula zake na aproove kama hivi,sio maneno mengi tu.Hakuna jibu la maana ulilopewa hadi sasa. Ukweli ni kwamba ukiweka gari full tank utatumia mafuta zaidi katika kuendesha gari kadiri yafuta yalivyo mengi, kwa sababu mafuta yanakuwa sehemu ya mzigo katika gari kwa hiyo injini inabidi ifanye kazi ya ziada kubeba mzigo wa mafuta.
Kihesabu tunasema fuel consumption is directly proportional to fuel level in the tank; C = kL, where C = fuel consumption rate, k = constant of proportionality, na L ni fuel level in the tank. Hiyo "k" ni assumption kwamba factors nyingine hazibadiliki, mfano idadi ya abiria ndani ya gari. Au kwa njia rahisi ni kwamba, rate ya consumption ya mafuta iko directly proportional na uzito wa gari. Kwa hiyo kadiri unavyojaza tank ndivyo unavyoongeza uzito wa gari na ndivyo gari itakula mafuta zaidi. Ulaji wa mafuta utapungua kadiri mafuta kwenye tank yanavyopungua, au kadiri uzito wa gari (load) unavyopungua.
Hiyo pia ndio sababu ndege haziweki full tank zinaporuka kwenda safari fulani, wanaweka mafuta yatakayotosha kuwafikisha wanapokwenda, na ziada kidogo ya emergency
Ndio maana unashauriwa usiweke vitu usivyohitaji kwenye buti ya gari kwa kuwa inafanya gari itumie mafuta zaidi. Utakuwa umesikia watu wakisema magari ya siku hizi ni karatasi sana tofauti na ya zamani - ni kweli na hilo lilifanyika ili kupunguza uzito wa gari ili lisitumie mafuta kwa wingi.
Hii dunia ina watu waongo kiasi hiki?Hakuna jibu la maana ulilopewa hadi sasa. Ukweli ni kwamba ukiweka gari full tank utatumia mafuta zaidi katika kuendesha gari kadiri yafuta yalivyo mengi, kwa sababu mafuta yanakuwa sehemu ya mzigo katika gari kwa hiyo injini inabidi ifanye kazi ya ziada kubeba mzigo wa mafuta.
Kihesabu tunasema fuel consumption is directly proportional to fuel level in the tank; C = kL, where C = fuel consumption rate, k = constant of proportionality, na L ni fuel level in the tank. Hiyo "k" ni assumption kwamba factors nyingine hazibadiliki, mfano idadi ya abiria ndani ya gari. Au kwa njia rahisi ni kwamba, rate ya consumption ya mafuta iko directly proportional na uzito wa gari. Kwa hiyo kadiri unavyojaza tank ndivyo unavyoongeza uzito wa gari na ndivyo gari itakula mafuta zaidi. Ulaji wa mafuta utapungua kadiri mafuta kwenye tank yanavyopungua, au kadiri uzito wa gari (load) unavyopungua.
Hiyo pia ndio sababu ndege haziweki full tank zinaporuka kwenda safari fulani, wanaweka mafuta yatakayotosha kuwafikisha wanapokwenda, na ziada kidogo ya emergency
Ndio maana unashauriwa usiweke vitu usivyohitaji kwenye buti ya gari kwa kuwa inafanya gari itumie mafuta zaidi. Utakuwa umesikia watu wakisema magari ya siku hizi ni karatasi sana tofauti na ya zamani - ni kweli na hilo lilifanyika ili kupunguza uzito wa gari ili lisitumie mafuta kwa wingi.
Ndio, kama wewe Mkuu. Lakini afadhali muongo kuliko mjinga asiyekubali kuelimishwaHii dunia ina watu waongo kiasi hiki?
Duniani kote Magari yananendeshwa Kwa full tank hata manufacturers wanashauri gari iendeshwe ikiwa full tank...Ndio, kama wewe Mkuu. Lakini afadhali muongo kuliko mjinga asiyekubali kuelimishwa